Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi.
Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
Habari za muda huu wapendwa,
Nalipanda jukwaa la JamiiForums kwa kutaka kunena na wafanyabiashara wa hardware, kama kichwa kinavyosema hapo.
Ninatoa huduma za kuagiza cement aina ya Bamburi na...
Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge...
Habari wanajamvi nataka kufungua biashara eneo la wazi biashara itahusisha chips,mihogo yakukaanga,nyama choma,supu nk nafikiria kununua projector itakayo nipa nch 100 ama zaid iwe moja ya kivutio...
Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter
Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA.
Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali.
15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo...
Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu.
Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo.
Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu...
Well,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana...
Karibu Tunapatikana Ilala Amana Karibia na Hospital Ya amana.
Wakazi wa dsm tunaweza kukufata wa mikoani unatuma kwetu.
Malipo Baada ya Kazi.
0715331233
Piga au sms au whatsapp
Habari zenu ndigu.zangu
Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
Niongee na graduates: ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025. Hii ni fursa ambayo unaweza kufanya kwa mtaji mdogo sana. Gharama pekee utakayoweka ni muda wako.
Kwanza...
Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi.
Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta...
Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea,
Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya,
Aliniomba ushauri kua anataka...
1/ 📢 KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA!
BRELA imetoa tamko rasmi kuwa kampuni zote zinapaswa kuwasilisha taarifa za umiliki wa mwisho wa faida katika kampuni (Beneficial Ownership...
Salaam ndugu zangu. Nawatafuta jamaa wanaosafirisha bidhaa za shambani, hassan viazi mviringo kwenda nchini Comoros, kwa anayejua naomba anipe information zao.
Ninatanguliza shukran.
Wasalaam!
Tumsifu Yesu Kristu
Asalaaam Aleykum...
Sina mengi, natafuta dalali mwenye konekshen kubwa na matajiri haswa wanaopenda kuwekeza ama wenye USHAWISHI mkubwa kwa matajiri hao katika...
Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja...
Kampuni ya TUKUZA (Tuenzi na Kutunza Rasilimali Zetu Adimu), inahusika na uchakataji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali za chakula, vipodozi asili, na kuendesha MAFUNZO mbalimbali. Kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.