Habarini members ,poleni na swaumu na qaresma , allah awafanikishe kipind hiki kitakatifu.
Back to topic , baada ya kufanya utafiti nimegundua biashara ya kuuza nyama ya ng'ombe inaeza...
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha...
Ofa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗
karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka.
Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana...
Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya...
Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli.
Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti...
Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta...
Kuna taarifa nimeiona bbc hasa baada ya kuona nembo ya illuminati imefanana na payment system(WEBMONEY) hebu tulijadili hili wakuu,,,,,,, mimi siyo mwandishi mzuri picha zinajieleza angalia hapo
Habari Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufanya biashara katika jiji la mwanza mtaji nilionao ni sh laki tano 500,000/= Nilikuwa naomba ushauri wakimawazo ili niweze kujiajiri kwa hiyo pesa
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani...
Habari humu JF?. Dunia inaenda na wakati kwa kila Jambo. Basi hata maswala ya kifedha pia kutakuwa na mabadiriko makubwa. Siku si nyingi dunia itahamia kwenye matumizi ya sarafu kidigital. Yaani...
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze.
Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu,
Je, leseni ya biashara inapatikana kwa...
Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new ..
Bei 210k ..
Mteja serious..0684 56 25 23...
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali...
Najua nyakati ni ngumu na wengi wetu hatuna kazi za kuajiriwa. Kama utapenda kujifunza ujasiriamali bure basi soma hii
Hapa kuna mapishi ya sabuni iliyotengenezwa nyumbani ambayo inaweza...
Karibuni Msome kitabu changu kipya:
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
Tambua Siri ya Tabia kuelekea Uhuru wa Kifedha
Je, unataka kujua siri ya kufikia uhuru wa kifedha? Kitabu hiki kinakupa...
Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa.
Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.