Hi wapendwa wana JF mi nina shamba la ekali 16 nje kidogo ya jiji(Dar) nataka kufuga kuku na nguruwe but sina pesa ya kuanzia mradi huo.naomba mawazo yenu nifanyeje niweze kutoka katika maisha aya...
Habari za mida hii waheshimiwa,naomba nipate kujua bei ya projector,iwe kama zipo za aina mbalimbali,nijue bei ya kila aina,kutoka dukani au kwa mtu.nawakilisha wakuu
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati ameilalamikia serikali ya CCM kwa kile kilichoelezwa ni mzaha kwani mapendekezo ya tume yake hayajafanyiwa kazi hata kidogo huku tatizo la umeme likiwa...
.. jamani wataalamu wa uchumi tusaidieni sisi wananchi wanyonge kwa hili..
bank hii ilijitangaza kuwa ni ya wakulima..maana watu wa kipato au familia MASIKINI..(KAMA ANAVYOJIITA MH PINDA)...
Oooohoooo, watanzania kwishney
Thamani ya shilingi yazidi kuporomoka dhidi ya US $.
Bei za vitu zitazidi kupanda bei
Kipato cha mtanzania kipo pale pale au kipato kinaweza kupungua...
Nina nia ya kununua gari la kutembelea ka salon. Naomba ushauri kwani ni mara yangu ya kwanza kutaka kutimiza nia hii:
1) Kwa kuzingatia bei je niende kwenye showrooms kununua au niagize mwenyewe...
5 Easy Steps to Becoming a Millionaire
Erin Joyce
Wednesday, May 18, 2011
Share
retweet
Email
Print
More from
7 Real-Life Ways to Become a Billionaire
at Investopedia.com
Why You Dont...
Habari wanajamvi, ningependa kufikisha kwenu ili nijue hasa uchumi wa nchi unapimwa kwa kutumia vigezo gani hasa, kwa sababu huwa tunaambiwa tanzani a ni nchi masikini angali ina mali asili za kutosha
A motion that envisages Kenyans aged over 60 receive a Sh2,000 monthly stipend received huge support from MPs Wednesday.
The motion was also amended such that if passed and assented to by the...
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani...
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
Watanzania ni watumwa katika nchi yao.
Viongozi wa ccm ndo wakoloni weusi.
Maeneo ya kuchimba madini wamepewa Wazungu - Tanzanite One, Barrick Tarime, Anglo Gold Geita, Mwadui and you name...
Siku za nyuma mlikuwa na nguvu haswa, lakini leo sijui mmeikosea nini serekali. Sekta ya usafiri wa reli imepewa kisogo.
Hivi hizi ndoto za kuanzisha usafiri wa reli kwa wakazi DSM zitatimiaje...
When you think of jobs that pay six figures, you think doctor, lawyer -- and anything with the word "chief," "director," "engineer" or "petroleum" in it.
But there are some jobs that pay six...
Hi
Just wondering as I am in the UK and thought this might be a good business to do. Can anybody help me with some ideas of where you have bought your laptop, if you are looking to buy one, how...