Naomba ushauri wako

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
May 4, 2010
480
128
Nina nia ya kununua gari la kutembelea ka salon. Naomba ushauri kwani ni mara yangu ya kwanza kutaka kutimiza nia hii:
1) Kwa kuzingatia bei je niende kwenye showrooms kununua au niagize mwenyewe toka Japan?
2) Kama nitaagiza mwenyewe, kwa kuzingatia usumbufu wa utoaji mzigo na ukubwa wa bei ya malipo ya bandari - je nitumie bandari ya Dar au ya Mombasa. mimi nipo Mwanza.
Ni kitu siriasi kinanikoroga hivyo naomba ushauri wa dhati wandugu wenye uzoefu.
 
Back
Top Bottom