Januari Makamba asema CCM inalifanyia mzaha tatizo la umeme Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Januari Makamba asema CCM inalifanyia mzaha tatizo la umeme Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BONGOLALA, May 22, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati ameilalamikia serikali ya CCM kwa kile kilichoelezwa ni mzaha kwani mapendekezo ya tume yake hayajafanyiwa kazi hata kidogo huku tatizo la umeme likiwa linaendelea.

  Hajui kesho bungeni atasema nini!

  Hakubaliani na serikali kukodi mitambo ya kufua umeme kwa gharama ya sh 5billion, badala yake hizo pesa zingewekezwa katika mitambo mipya ya kuzalisha umeme wa maji katika mito ya Rusumo au Rufiji na kuwa mali yetu moja kwa moja!!

  Source Channel10 news.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anajitoa?au yeye c ktk wana-ccm?
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyu dogo kuna kipindi kichwa yake ina hoji vitu vya ukweli sana. Ni kweli serikali yetu inafanya mzaha na umeme, haijui kila kitu siku hizi ni umeme, ona jinsi serikali ilivyopata hasara ya mabillion katika siku hizi ambao umeme ni karibu 16hrs mgao. Big up Makamba.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yawezekana Makamba ni mkweli
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  nuyu dogo hapo kanena na mimi nampa big up na support kubwa
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naomba wenye kulifaham hili watujuze.

  Hivi mito ya Rusumo na Rufiji maji yake hayapungui? Maana utegemezi kwenye maji umeligharim saana taifa hili. Umeme rahisi wa upepo vipi? Lakini pia kwanini wasihakikishe wanahimiza solar kwa kutoa hata subsidy au kwenye ofisi za serikali ukizingatia mazingira yetu yalivyo?

  Lakini je, pendekezo lake ni la muda mfupi kuliko umeme wa kukodi?
   
Loading...