Madini, Kilimo, Ardhi ufisadi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madini, Kilimo, Ardhi ufisadi mtupu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MPadmire, May 20, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Watanzania ni watumwa katika nchi yao.

  Viongozi wa ccm ndo wakoloni weusi.

  Maeneo ya kuchimba madini wamepewa Wazungu - Tanzanite One, Barrick Tarime, Anglo Gold Geita, Mwadui and you name them...................

  Kilimo, Ardhi.... Maeneo yenye rutuba wamepewa wawekezaji -Mbarali, Mashamba ya Ngano Manyara. Maeneo ya Kahawa Moshi..Watanzania wakiomba hawawezi kupewa ila wakija wageni watapewa kwa sababu ya 10%...

  -Eti Bangladesh wanakuja kukodi mashamba Tanzania walime.... 60% watapeleka kwao na 40% watabakiza. Non sense.

  hata kama watatumia matrekta kulima, bado watanzania watakuwa watumwa tuu.

  SERIKALI YA CCM- NAWAULIZA HII NDO KILIMO KWANZA? KUUZA ARDHI KWA WAGENI NA WATANZANIA KUWA WATUMWA???

  Kwa nini wamachinga wanazidi mijini Tanzania???? Why tell me people.

  Hawa vijana hawana sehemu za kulima.

  Vijana wanaotaka kulima wanaweza kumilikishwa angalao hekari 5 au mpaka kumi kadiri ya uwezo wa mtu kulima.

  Wakivuna mazao yanakuwa na masoko au yanakuwa processed and exported.

  Vitalu vya uwindaji vya utalii- bei gani wanapewa wageni na vitalu vyenye wanyama wengi
   
Loading...