Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau Nahitaji sana kupata contacts za taasisi au kampuni binafsi inayoshughulika na kufanya soil analysis. Nahitaji SOil Analysis kwenye kipisi changu cha arshi kabla ya kuanza shughuli za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Hi JF Members; nimeoa na ni mtumishi wa umma; mke wangu ni mama wa nyumbani hana kazi yoyote. naamini nikimwezesha anaweza. sina kipato kikubwa sana lakini naweza kupata kama 1.5 milioni ili...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
TIGO sasa naona wamelewa sifa na sasa wanatufanya wateja wao kuwa ni Mazuzu tusiojua Taratibu na Sheria za Nchi, "TUTAWASHITAKI". Siku hizi ukimpigia Mtu wa Tigo kama Hapatikani wanakwambia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za kazi Mkubwa na pia pole na majukumu. Mimi ni mdau wa utalii kwa mwaka wa kumi na tano sasa, nimekuwa niki deal sana na taasisi zako muhimu kama TANAPA, NCAA, TTB na nyinginezo. Nafahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BY PATRICK KISEMBO 24th October 2011 Worries about environment, legality Govt says everything under control The Parliamentary Committee on Lands, Natural Resources and Environment has...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu, najua kuna topic nyingi za habari hii ya ufugaji kuku (kuzungu na kienyeji) ila nimeona niulize haya sababu ninataka anza ufugaji kuku huko mkoa wa Pwani. ila kwa kweli as...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Kuna aliyewahi kuagiza gari kwa hawa jamaa kutuka Japan. wako tradecarview of course. Yaani wamepokea hela zangu wiki mbili zilizopita lakini wameshindwa kabisa ku confirm shipping date...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Zimbabwe 2 Afghanistan 3. Central Africa Republic 4. Burundi 5.DRC 6. Eritrea 7. Nigeria 8. Liberia 9. Sierra Leone 10. Somalia Source: The world
0 Reactions
3 Replies
2K Views
African Barrick’s Profit More Than Doubles, Cash Costs Rise 2011-10-20 06:32:19.555 GMT By Thomas Biesheuvel Oct. 20 (Bloomberg) -- African Barrick Gold Plc, the largest producer of the...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dear all: nna miradi miwili that need funding patner and Im ready to give up to 50% shares. 1.ONLINE PHONE BOOK/SMS ARCHIVING SERVICES. Hii ni huduma ya kulipia ambapo mtumiaji atakuwa na uwezo wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
http://mobile.reuters.com/article/idUSTRE79M1MI20111023?irpc=935
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Kuna ulazima wa kupeleka ritani za vat ktk ofisi za tra (w) manually na tena kutuma head office kupitia email. Nimekuta afisa elimu kwa walipa kodi kamlazimisha ndugu yangu na wafanyabiashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii. Naombeni msaada kuwapata wauzaji wa magari hapa Dar nataka kubadili biashara kuna gari nauza. Zaidi ya kuandika forsale na kuwatumia madalali naona itanichukua muda,ila kuna...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari za leo imani yangu muwazima wa afya,nami namshukuru mungu naendelea vizuri.Naomba maoni yenu,me ni mwanafunzi kidato cha 5 ktk shule moja ya serekali hapa mjini znz,tangu nimefaulu nimekuwa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Dear Customer: To enhance security at your home and business premises, we supply and install the following high quality services at unbelievably low price. Electric Fences Security Cameras...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha NGO.Ni nini kinatakiwa na ni hatua gani za kufuata ili kuanzisha NGO.NGO nitakayoanzisha nataka iwe ina deal na health, sanitation and hygiene.Nawasilisha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hi, Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa endapo mtu atanunua gari Zanzibar na kulileta Bara. Pia masuala ya kodi yako vipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…