Nataka kuanzisha ngo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuanzisha ngo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ng'wanambula, Oct 22, 2011.

 1. Ng'wanambula

  Ng'wanambula Senior Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba msaada wa jinsi ya kuanzisha NGO.Ni nini kinatakiwa na ni hatua gani za kufuata ili kuanzisha NGO.NGO nitakayoanzisha nataka iwe ina deal na health, sanitation and hygiene.Nawasilisha wakuu
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nenda pale wizara ya maendeleo ya jamii idara ya NGO (msajili) watakupa maelekezo yote, utapunguza nenda rudi nenda rudi
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hivi na hii ni business ?
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  all you need is just a copy of constitution verified by a lawyer (format utapata pale wizarani), list ya members, muhtasari ulioazimia kufungua ngo, muwe na katibu, mwenyekiti na m/hazina, picha mbili kwa kila hao viongozi, hela ya usajili around 60,000/-.
   
Loading...