Installation of security systems | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Installation of security systems

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jaynsemwa, Oct 18, 2011.

 1. j

  jaynsemwa Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Customer:

  To enhance security at your home and business premises, we supply and install the following high quality services at unbelievably low price.

  • Electric Fences
  • Security Cameras (CCTV)
  • Alarm Systems
  • Motor Gates
  • Coloured Video Phones

  Contact us on: iyennsemwa@gmail.com
  0788002001 or 0655222588 or 0757269345 or
  0717255432

  Karibuni sana mfurahie huduma zetu kwa bei nafuu.

  Iyen Jay Nsemwa
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nimependa Advert yenyu.Straight to the Point.


  Video phone naweza kutumia via TTCL phones ,Hapo kwenye Red whats the price range for a 3bedroom house on 800 square meter property.plse Advice
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hebi lipia Tangazo hapo juu, wacha ubahili
   
 4. j

  jaynsemwa Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Video Phone hautumii TTCL. Hii inafungwa badala ya kengele ya kawaida ya getini. Tofauti na kengele ya kawaida ni kwamba kwa kutumia video phone, mgeni akibonyeza kengele getini, unamuona ktk coloured screen iliyofungwa ndani ya nyumba yako. Unaweza kuamua kuongea naye ktk hiyo screen au kama hutaki kumuona unaweza kumwambia kijana amjibu kuwa haupo. Wewe unamuona, yeye hakuoni. Kuhusu Electric fence na hivyo vitu vingine, tunakuja kufanya physical survey then tunakupa quotation. Unaweza kutupigia au kuwasiliana nasi ktk email. Nitumie email yako naweza kukutumia baadhi ya quotations ambazo tumewapa wateja wengine ili upate picha


   
 5. j

  jaynsemwa Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu, nilidhani nitakuwa nimelipia indirectly kwa kuwafaidisha Wanajamii Forums huduma ya bei nafuu ambayo nina hakika wengi wanahitaji lakini kwa kawaida bei zake huwa ziko juu unnecessarily. Usalama wa watu, familia zao na biashara zao ni kitu cha msingi sana.

   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nitumie ktk PM Tu.ntaipata
   
 7. j

  jaynsemwa Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sorry, PM ni nini? sijailewa

   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jf=private message
   
 9. j

  jaynsemwa Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mfano, baada ya survey ya mmoja wa wateja wetu ambaye alikuwa na plot ya 40m X 25m ambayo ni kubwa kidogo kuliko plot ya 800sqm. Tumemfanyia kazi kwa Tshs 1.8m. Ukizungumzia 800sqm bei itakuwa chini kidogo. Bei inategemea, plot size (ambayo ina determine aina ya Energiser) na height ya ukuta (ambayo ina saidia to determine idadi ya rounds za wire). Kuta nyingine huwa zinakuwa zinakuwa na kona kona kwa hiyo survey ni muhimu kabla ya kutoa price quotation.

   
 10. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Na motor gates mnachaji kiasigani nahitaji sana hii huduma,
   
 11. j

  jaynsemwa Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kama unahitaji hii huduma. Motor gates pia zinategemea uzito wa gates, kuna 500kg, 1000kg na kuendelea. Physical survey ni muhimu, na uzuri hatuchaji kama site iko hapa DSM. Tunakufanyia survey bure na kukupa price quotations ambazo utaweza pia kulinganisha na watu wengine kabla hujatupa kazi. Tutafute ktk 0757269345, 0788002001, 0655222588 au iyennsemwa@gmail.com. Kampuni yetu inaitwa MENSE TECHNOLOGY SECURITY SYSTEMS. Pia tunatoa after service support, kwa hiyo kama kunakuwa na tatizo siku za baadaye, unatupigia tunakuja kukusaidia.

   
 12. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Okay nashukuru kwa hilo, ntawatafuta ili nipate hiyo huduma maana hii habari ya kupiga honi ukifika getini inaanza kupita na wakati kwa sasa, na ofisi zenu ziko wapi in case nikitaka kuwatembelea?

   
 13. j

  jaynsemwa Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana. Tulikuwa Magomeni, sasa hivi tumehamia Kariakoo mtaa wa Tandamti. Ukitokea Fire unapita Big Born petrol station, mbele kuna GAPCO, you turn left along Tandamti. Nitakuelekeza vyema ukiwa tayari.

  Nsemwa

   
 14. N

  Natalia JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  mimi niko usa i need security for my mothers house . i will call you tomorrow poat prices for us
   
 15. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jaynsemwa nina mpango wa kuanza biashara ya shamba hekari 200 hadi 500, vipi inawezekana kuweka security installation shambani
   
 16. j

  jaynsemwa Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, tunaweza kuweka security shambani. Kwa mfano hivi tunavyozungumza, kuna mteja anataka tuweke electric fence ktk maeneo ya kujenga nyumba, kuanzia eka mbili na eka 15. Tunaweza kujadiliana ni aina gani ya security tuweke. Tunapatikana ktk simu zifuatazo. 0788002001, 0655222588 na 0757269345

  Karibu tuzungumze
   
 17. j

  jaynsemwa Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu sana, tutakufanyia kazi nzuri. Uzuri wetu, tunafanya kazi as a Company. Kampuni yetu inaitwa MENSE TECHNOLOGY SECURITY SYSTEM, kwa hiyo mbali na unafuu wa bei, tunafanya a very high quality work, tunatoa guarantee na after sales support in case of any problem. Nipigie tuzungumze ktk 0788002001 au 0655222588 au 0757269345

   
 18. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nitakutafuta nikapomaliza kulipima shamba na kujenga vibanda
   
Loading...