Is. trading. Japan

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Wakuu.

Kuna aliyewahi kuagiza gari kwa hawa jamaa kutuka Japan. wako tradecarview of course.

Yaani wamepokea hela zangu wiki mbili zilizopita lakini wameshindwa kabisa ku confirm shipping date mpaka hivi sasa.
 
Yes niliagiza gari kwao, Mawasiliano yalikuw ya presha, kuna wakati kama nilikata tamaa bt walirudi na kukamilisha deal, vizuri sana. Subira kidogo mkuu
 
Subira kidogo...Jama wana fanya shipping mara mbili kwa kwa mwezi kama timing yako ulikuwa si nzuri unaweza ku confirm hata baada ya wiki tatu. Mie mwenyewe nilikaaa wiki tatu...ila ni wa uhakika walikuwa autorec wenyewe hawana biashara za kihuni.
 
Duh wamerudisha mawasiliano na matumaini yamerudi man. ni mwezi wa pili sasa unakatika Tangu niwatumie pesa

Thanks Buddy
 
Subira kidogo...Jama wana fanya shipping mara mbili kwa kwa mwezi kama timing yako ulikuwa si nzuri unaweza ku confirm hata baada ya wiki tatu. Mie mwenyewe nilikaaa wiki tatu...ila ni wa uhakika walikuwa autorec wenyewe hawana biashara za kihuni.

mkuu nashukuru. They seem to be very honest. ila ukiagiza gari huku inabidi uwe na roho ya Simba.

Jamaa kingereza hawajui. ukipiga simu unapata sauti za kijapan tu hakuna anyekujibu. Yaani full presha
 
Back
Top Bottom