ufugaji, banda na umeme nayo...

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,624
Wadau nawasalimu, najua kuna topic nyingi za habari hii ya ufugaji kuku (kuzungu na kienyeji) ila nimeona niulize haya sababu ninataka anza ufugaji kuku huko mkoa wa Pwani. ila kwa kweli as ninataka anza sijaona sana kuongelewa juu ya mabanda na kuwa na taa bandani. natumaini point zangu nilizouliza humu zitawasaidia wengi kama mie.
 
Mzuri wewe sikiliza,
Ukiweza mpe Pm Kanyagio/mwalwisi.
Mimi nina plan ya kwenda shamba darasa na Kanyagio kwa mdada mmoja, ili pamoja na mambo mengine nikaibe/nikachote vitu fulani kwake. Nilipoamua kufanya shughuli za kilimo, niliacha nadharia kwenye makabati na kwenda kuwaona dealers kwa vitendo. Niligundua vitu vingi huko ktk ziara zangu, kimojawapo ni hiki, maelezo/nadharia baada ya kuona hujaza zaidi ufahamu.

Sio kwamba sifugi kuku wa kienyeji, ila siku zote nahisi nataka kujifunza zaidi.Ukifika shamba darasa utapata vyote at a time. Haya ni mawazo yangu kwa leo.
 
nashukuru kwa ujumbe wako niwa wa PM. nilikuwa nimeona wadau wengine kwenye mada niliwa pm ila sijapata majibu ndio nikaona nirushe humu. cheers!
 
Back
Top Bottom