Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

ufanye ujenzi wa nyumba yako kuwa nafuu na rahisi kwa kutumia matofali yanayofungaman(interlocking bricks:poa)tembelea www.difining2morrow.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Heshima kwenu GT, Nina shauku sana ya kujua siri za mafanikio, njia halali walizotumia, mbinu na ujuzi waliotumia watu waliofanikiwa kibiashara hapa kwetu Tanzania ili wengine tujifunze kupitia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Yaani nauli ya DAR TO KIA ya precision air imepanda mpaka kufikia 457,000 TShs hii balaa
0 Reactions
17 Replies
2K Views
THE PRIMERA IS IN STUNNING CONDITION INSIDE AND OUT- VERY ECONOMICAL,- LOW MILEAGE ON THE CLOCK- LOW INSURANCE GROUP- REALLY GOOD LOOKING CAR AND DRIVES PERFECTLY- LOTS OF FEATURES ON THE CAR-...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini zenu wakuu, nilikuwa na wazo wadau, tunaweza kuwa na tafrija ya kukutana kila mwisho wa mwaka na kuwapongeza wanaJF katika jukwaa la Biashara ambao wamefanya vizuri katika nyanja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamvi mie mwanafunz muda wa kwenda benk ninakosa ratiba ngumu cna kwangu. Nipo sehemu ambapo kuna NMB, CRDB, NBC na Benki ya Posta tu. Je ni benki ipi kati ya hizi naweza kuchange...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wapendwa wana jf, natumai mnaendelea vyema na poleni na majukumu. Napenda kuwashukuru wana jf wote waliyo niunga mkono ktk biashara yangu ya mayai ya kuku wa kienyeji, Nimefarijika sana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nipo hap ubungo mataa zaidi ya dk 30, kisa ni askari kaamua kuongoza magari. kuna haja gani ya kuongoza magari asby yote hii askari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao...
0 Reactions
84 Replies
9K Views
Gazeti la Citizen leo hii limebeba habari muhimu kwa wale wanaotaka kustrahe katika sehemu mbalimbali hapa nchini siku ya krismasi. KuhuZunisha ni kwamba gharama za mahoteli zimeongezwa marudufu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJf naomba kujuzwa katka soko la sasa,2000 ya kenya ni sawa na shillingi ngapi za kitanzania?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umejiandaaje na Xmas na Mwaka mpya? Nauza majogoo chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132. Bei ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Digital writing and online postings have long been a hobby only, but the time has come to start making money from blogging. Don’t believe us? Look at Tanzanian journalist Issa Michuzzi. He...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Business plans have changed a lot over the years. These days, there’s so much that you need to take into consideration when putting pen to planning paper, so think clearly when plotting the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kipindi huko nyuma baadhi ya watu binafsi au taasisi walikuwa wanafikiria kujenga pipeline ya mafuta kwenye mikoa ya nyanza za juu. Hii plan ilifia wapi? Naona bado kuna potential kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuhusu Swala la Marketinghatuwezi anza hivi? - Si uongo kwa sasa kuna ushindani mkubwa sana wa kibiashara kwa sasa duniani kotejambo ambalo hufanya watu kuja na njia mbadala za kutafuta soko...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf,natumai muwazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila leo.Kama inavyotakikana kila siku mtu afikirie ni nini afannye ili kipato chake kiongezeke,hivyo,hata mm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzanians look set to suffer even higher prices in coming months analysts said, after inflation rose for the 13th consecutive month in November on the back of higher food and energy costs...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natumaini wengi tulishapitia hii lakini nadhani itakuwa vizuri kukumbushana pia! TARGETSETTING FOR SUCCESS- LESSONS ON PERSONAL BRANDING(A talkby Eric Kimani to the British Council Leadership...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…