Nauza majogoo machotara na mayai ya kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza majogoo machotara na mayai ya kienyeji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkulima wa Kuku, Dec 19, 2011.

 1. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Umejiandaaje na Xmas na Mwaka mpya?

  Nauza majogoo chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132
  . Bei ni shs.20,000/=kwa jogoo, Niko Dar.

  Aidha nauza mayai ya kienyeji mazuri trei ni shs. 12,000/=
   
 2. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Umejiandaaje na Xmas na Mwaka mpya?

  Nauza majogoo chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132
  . Bei ni shs.20,000/=kwa jogoo, Niko Dar.

  Aidha nauza mayai ya kienyeji mazuri trei ni shs. 12,000/=
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280

  Nataka chotara la kibulushi na kinyamwezi, unalo?
   
 4. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280

  This is Hillarious... FF nimecheka mpaka nimelia ....teh teh teh ....
   
 5. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kama unalo jike la jinsi hiyo, mimi ninalo dume lake!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mimi nataka chotara la kiharabu ila lisiwe na ndevu. Nitarudi baadae
   
 7. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa, wewe ni bondia, bouncer au? Mkuu nahofia kutoa kuku wangu wa kiarabu huenda wakakuota usiku wakiona sura yako....nisamehe mzee kwani majogoo ya kiarabu ni maoga sana. Heshima yako mkuu!
   
Loading...