Nawaombeni maujanja ktk hili.

Black African

Member
Oct 17, 2011
24
3
Habari zenu wana jf,natumai muwazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila leo.Kama inavyotakikana kila siku mtu afikirie ni nini afannye ili kipato chake kiongezeke,hivyo,hata mm nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza vocha kupitia cm ya mkononi/kwa njia ya kuwarushia salio,ninachokitaka ni mazingira yepi yatafaa zaidii?,nitumie mtindo upi ili wateja wanifahamu kama nauza salio?jinsi ya kuanzisha hiyo biashara pmj na changamoto zitakazoweza kujitokeza.Nawasilisha kwenu,naomba kila mmoja atumie uelewa wake ktk hili,asanteni.
 
mkuu hii biashara inawezeka tu kwa wateja unao wafahamu either mnafanya nao kazi sehemu moja, mnakaa mtaa mmoja,mnasali wote na kazalika, ila ukisema uanze kujitangaza na kutumia watu usio wafahamu ilakula kwako,

- Huu mfumo wa kuregster namba za simu bado hauja saidia kwa sababu still kuna watu walitumia vitambulisho vya bandia kujisajili na hata kama aliye sajili yuko sahihi utamrushia mtu sh 10,000 atatoweka nazo na prosesi ya kumtafuta inaweza kukughalimu sh 100'000
.
 
Back
Top Bottom