Kero ya trafiki polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero ya trafiki polisi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kintiku, Dec 17, 2011.

  1. K

    Kintiku JF-Expert Member

    #1
    Dec 17, 2011
    Joined: Feb 3, 2011
    Messages: 611
    Likes Received: 72
    Trophy Points: 45
    nipo hap ubungo mataa zaidi ya dk 30, kisa ni askari kaamua kuongoza magari. kuna haja gani ya kuongoza magari asby yote hii    askari
     
  2. ntamaholo

    ntamaholo JF-Expert Member

    #2
    Dec 17, 2011
    Joined: Aug 30, 2011
    Messages: 10,144
    Likes Received: 2,104
    Trophy Points: 280
    asubuhi DSM kuna foleni kali, kwa taarifa yako hata askari hapendi kuvuta moshi wa mkweche wako, lakini kwa kuwa ni mpango kazi ili wanaowahi kwenda kazini wawahi, analazimika kutimimiza maelekezo ya bosi wake.

    kwa vile umechelewa ndo unalalama? kuna wengine wengi wanafurahi kwani atleast magari yanasogea
     
  3. S

    Son of Alaska JF-Expert Member

    #3
    Dec 17, 2011
    Joined: Jun 2, 2008
    Messages: 2,813
    Likes Received: 102
    Trophy Points: 0
    HII sijui ilitokea lini,but ni tz[​IMG]
     
  4. Nyange

    Nyange JF-Expert Member

    #4
    Dec 17, 2011
    Joined: Mar 25, 2010
    Messages: 2,180
    Likes Received: 229
    Trophy Points: 160
    Siku kuu inakuja, lazima wazuge ili ukiwa na haraka, akuchomoe10,000. Lakini nawasihi acheni kutoa rushwa kwa ma-trafic, tuwe wepesi wa kulipa faini ili tuache kuwanenepesha polisi, ili watambue serikali yao haiwajali
     
  5. Doltyne

    Doltyne JF-Expert Member

    #5
    Dec 18, 2011
    Joined: Aug 29, 2011
    Messages: 443
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 35
    Mimi ni mmoja kati ya wachukia rushwa na niko tayari kuchelewa safari zangu ili tu nifate taratibu na nisilipe rushwa...(On a very serious note, SINA UHAKIKA KAMA VILE VITABU VYAO VYA BARABARANI NI HALALI, na RISITI TUNAZOPEWA NI ZA KWELI NA HELA INAINGIZIA PATO TAIFA, Ndio maana nimeopt kutake a long route) Mara Nyingi Traffic akikuona una msimamo wa kukubali kosa na kuwa tayari kutoa ushirikiano wa kwenda kituoni, Huwa wanakuachia....Ni wiki iliyopita tu nilikamatwa Kingolwira kosa ni kwenda 57 sehemu ya 50, nikakubali kosa na kuwaomba waniachie niendelee na safari, wakataka fine nikatoa jibu rahisi kabisa, SINA PESA HAPA... wakataka twende kituoni nikalale hadi Jumatatu nikajibu shitaka mahakamani nikakubali (nikijua kabisa nikifikishwa kituoni sitalala kwasababu ntawaomba waniachie na Police wa kituoni huwa wanaachia tu watu kwa mambo kama hayo)... Nikakaa pale kama dakika 40 baadae wakanipa leseni yangu nikaondoka, Sasa Ningekuwa na moyo wa rushwa pale ningejifanya nataka kuwahi nikawaachia nusu ya fine (15,000) Nikaondoka... Patience saved my doe...

    Tusiwe wepesi wa kujifanya tuna haraka utadhani tunawahi wagonjwa tuwafanyie operation wasife, Utasikia mtu ooh watanichelewesha. kumbe anawahi bar au nyumbani kwake... Kwani unakoenda kunahama??

    Traffic ni Binadamu kama sisi, wana aibu, huzuni na huruma kama watu wengine... Ukiwa na Kauli nzuri hata siku moja hawatakusumbua.
     
  6. K

    Kintiku JF-Expert Member

    #6
    Dec 20, 2011
    Joined: Feb 3, 2011
    Messages: 611
    Likes Received: 72
    Trophy Points: 45


    Mara kadhaa nimekamatwa na traffic kwa kosa halali lakini nimesalimika bila kulipa faini au rushwa kwa kuomba msamaha na kuongea lugha ya kistaarabu. Tatizo watu wanawachukulia traffic police kama mijitu fulani. Ki ukweli kazi yao ni ngumu sana sana sana. Hebu fikiria jua la mchana kuongoza magari, mvua inanyesha wapo, saa tatu usiku wako barabarani. Pamoja na mapungufu yao kama wanadamu, lakini wanafanya kazi iliyo njema sana.
     
Loading...