Petrol TZS 1,882 na Diesel TZS 1,987: Wafanyabiashara waigomea Serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petrol TZS 1,882 na Diesel TZS 1,987: Wafanyabiashara waigomea Serikali?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mgt software, Dec 19, 2011.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu katukataza kweli serikali imefika kubaya.Magari mengi yamezima njiani, tunaomba trafiki wasaidie angalau tuyaweke pembeni.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tulishatoa onyo na wala serikali yetu haikuzingatia na tukafanana na watu tunaopiga kele chini ya maji; subiri uje uwaone wanavyokurupuka mbele ya vyombo vya habari kama wako uchi vile no foresight kabisa bure kabisa!!
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  matunda ya serikali legelege!
   
 4. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  chama legelege huzaa serikali legelege yenye viongozi legelege...
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  A reactionary government with constant fire-fighting approaches on almost on everything; sasa kwa hapo ndio sasa ajira ndoto mwakani, bidhaa bei juu, nauli kutoshikika, kodi kupanda maradufu kwenye bajeti ya mwaka mpya wa fedha ...

  Jamana CCM hebu tupisheni, mmeshindwa kusimamia uchumi wetu kwa uadilifu. Kaeni pembeni muone kazi tutakavyouchapa mpaka mshangae; inauma sana hivi kila kitu kwenda kama kwenye kilabu cha pombe hivi!!
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...juu ya wananchi legelege wenye maamuzi legelege na kuchukua hatua legelege...
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ridhiwani si atapata hasara na vituo vyake vya mafuta?
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hamna mgomo wewe patachimbika wote watafungiwa wathubutu waoneeee
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  serikali ya kishkaji.......yani ya kiswahili zaidi.
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unapokula krismasi na sikukuu ya mwaka mpya ni bora ukafanye kwa busara zaidi wenzangu; mwakani uchumi kuwa shagalabagala zaidi, mfumuko wa bei kujiunganisha na kupanda bei ya mafuta soko la kimataifa na pengine kufikia 25% hadi 30% huko kabla ya June 2012.

  Masikini tutalia sana na kusaga meno; jama UFISADI ni unyama na unyama wake katika uchumi ndio kama hivi - ujambazi si kipindi kupiga hodi kwa ukali zaidi.
   
 11. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Nchi hii sasa imekuwa yatima,Mafuta yamekua ya shida hata Somalia kuna nafuu ingawa kuna vita,POOR MANAGEMENT NI TATIZO TANZANIA
   
 12. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Sasa Jamani Shida ni nini? Kwani Hii hali inaonyesha inatisha Kabisa!! Hii hali huwa always inajitokeza mwishoni mwa wiki!! Sasa Naona Hali inazidi kuwa tete!! Sasa Hawa ndugu zangu wa Usalama wa Taifa wameshindwa Hata Kutusaidia Khali isiwe Mbaya kama Ilivyo sasa?
   
 13. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Nani atawafungia?
   
 14. n

  nyantella JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ........yaani inabidi siku moja kituo kimoja kitiwe moto ndio watashika adabu yao, nyambafu!!!
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sikutegemea mchange yakipumbavu kutoka kwa pumbavu kama hii. Hivi serikali kupambana na wauza mafuta ili sisi raia tupate nafuu inakuwa kero kwenu? badala muungane na serikali na mtoe ushauri wenye maana nyinyi mnapinga? Je mwataka kulipa mafuta bei ya juu? Ama kweli nyinyi ni wapumbavu.
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa kashafa unayotoa natamani hata ungelala hapohapo na ubwege wako. sisi tunalia bei ya mafuta ipungue wewe unakejeli. Hivi wewe ni chizi?
   
 17. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  yaani Dar Balaa tupu, umeme hakuna, jua kali, mafuta ndio usiseme, kariakoo shimoni, maduka ya chini hali mbaya, mafundi generator wamekata tamaa kwa kulaumiwa na wenye generator maana nchina kuwasha full time ni siku 90 baada ya hapo unanunua nyingine, hali ndiyo hiyo matunda yanaoza fridge zinanuka vibaya kwa kukosa service, ndo tanzania yetu yenye kasi zaidi, na ari zaidi mbele break ya Umeme, Maji na Mafuta, bado uchafu na mabomba kuziba
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pumba.
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  haha sasa dogo c mwekezaji huko
  kwenye petroleum?
  Unadhani mdingi
  atachukua hatua yeyote hamna kitu
  ndo kwanza atakwea
  pipa aende kurefresh
  mind pahali mkimalizana anarudi
  chezea nji hii weye?
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,721
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  kweli wewe unaitaji kupimwa akili, hapo ni kashifa gani? mimi naumia kwa kushindwa kndesha gari mpaka kazini kwangu wewe wasema nakejeli!!, lakini nilijua tu nyie si mna bia na LAKE OIL YA Rz.... acha tu mtukaange lakini ipo siku utany...a debe na kunyanganywa mali zote
   
Loading...