Pipeline za mafuta na gas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pipeline za mafuta na gas

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndahani, Dec 18, 2011.

 1. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Kuna kipindi huko nyuma baadhi ya watu binafsi au taasisi walikuwa wanafikiria kujenga pipeline ya mafuta kwenye mikoa ya nyanza za juu. Hii plan ilifia wapi? Naona bado kuna potential kubwa ya kukuza biashara ya mafuta ndani na hata nje ya nchi kama tutaweza kuongezea uwezo wetu wa storage na upatikanaji wa mafuta maeneo ya nyanza za juu. Ilivyo sasa tunategemea kusafirisha kwa malori tu na yanaongeza gharama kubwa.
  Upande wa gas asilia, inaaminika tunayo nyingi na tunaweza kuifanyia biashara ndani na hata nje ya nchi. Viwanda vingi hasa vya cement vingeweza kunufaika sana kama nishato hii ingekuwa karibu pale inapowezekana. Tunasubiri nini kwenye hilo pia? Maana tuliambiwa gas asilia ingeanza kutumiwa kwenye magari. So far ni gari moja tu la tpdc ndio linalotumia hiyo gas, tena ni kwenye maonyesho.
  I think tunaweza kupanua zaidi eneo hili la nishati kwa kuwekeza kwenye pipeline ziendazo sehemu zenye economic potentia so as to boost economic growth through the energy sector.
   
Loading...