Napatikana pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni maelewano.
Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama kinga na dawa ya kuua wadudu hasa...
Madini (Tanzanite, dhahabu, almasi) Huku ndio kwenye umafia wenyewe, Hadi utoboe kubali kugawana na wengi, Ni biashara inayokuhitaji uwe na mguu wa kuku ukifika levels flani
Mabasi ya Mikoani...
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze...
JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO AU KAZI ZAKO KUPITIA MEDIUM BLOGGING
(leo nitakwambia kwa nini Medium ni sehemu muhimu sana kwa wajasiriamali wa online)
🎯 Kama Unafanya Kazi Hizi — Hii Ni Kwa...
Wasalaam.
Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.
Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini...
Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni
Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie...
Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo...
JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI
Zinagtia ya 8
Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya
Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi...
Hamjambo wadau ?
Katika harakati zangu zakutaka kuzungusha mtaji wangu nimeona niingie pia kwenye kilimo Cha mashamba hasa yamigomba kwakuw nataka nifanye biashara ya ndizi ila ndo sijajuw...
Habari wakuu,
Kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA bei ya dagaa kwa sasa kwa gunia la dumu kumi ni 180000 mpaka...
Habari wadau, sina uhakika kama jukwaa hili linafaa kwa hoja yangu hivyo natanguliza samahani kwa atakayekwazika.
Nimefikiria na kuamua niishi mbali na kituo cha kazi na niwe nakuja na usafiri...
🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo!
Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨
📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302
🌸 Easter rides made easy!
Cruise...
Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments...
Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi...
Habari wanaJF,
Ni jioni nyingine tena nakuja hapa kumalizia siku hii. Nikiwa hapa, nilipiga picha ya kumbuukumbu za maisha ya hapo nyuma. Nikagundua cycles fulani zinazojirudia rudia. Na cycle...
Naweza kuanzisha biashara ya chips kwa mtajii wa laki tatu? Kama inawezekana ni kwa njia zipi? Na kama haiwezekani biashara gani inaweza kufaa kwa huo mtaji?
Msaada tafadhari!
Nimewahi shiriki shughuli za kisiasa directly 2015, 2020 kama Msafirishaji, uchaguzi ni mchakato wenye hela sana.
Nimeiuliza CHATGPT namna gani unaweza tengeneza kipindi cha uchaguzi huu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.