Mikopo kutoka Hazina

Mikopo kutoka Hazina

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,793
Reaction score
7,379
Wakuu naomba kufahamu namna ya kukopa mkopo Hazina kwa watumishi wa Umma..

Nasikia huko hazina hakunaga Riba.
Ahsante.
 
Pale Hazina kuna Saccos. Unatakiwa kujiunga kwanza ndio uanze kukopa
 
Kupata mkopo hazina sio lazima ujiunge na saccos wasiliana na afisa utumishi au mweka hazina wa taasisi Yako.
 
Back
Top Bottom