Hello wana jf! nataka kununua blender ya juice kwa ajili ya biashara, naomba ushauri make gani ndio nzuri, itakayo dumu na kuchapa kazi vizuri?
Asanteni
I was doing a research regarding computers and i got to find out about www.stonehouse.co.ke A company that sells computers which are extremely energy efficient,are powered by solar and have no...
Midraji Ibrahim, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amemwandikia tena Spika wa Bunge, Anna Makinda, akimuomba kuunda kamati teule ya Bunge kuchunguza ununuzi wa mafuta ya...
Gasper Andrew, Singida
HOSPITALI Teule ya Wilaya ya Singida ya Makiungu, imetumia zaidi ya Sh1.2 bilioni kugharimia ujenzi wa hosteli ya kisasa na upanuzi wa wodi ya wazazi. Hayo yalielezwa juzi...
wakuu habari zenu naomba msaada hapa kwenye hili..
Je mtu akitaka kuanzisha branch ya kampuni yake ya kitanzania ya utalii kwa nchi kama
egypt, morocco & tunisia inawezekana?
Je serikai zao...
habari wanaJF,kuna magari kadhaa yanauzwa katika mkoa wa arusha,tafadhali tembelea blog ya arusharides.blogspot.com
blogu hii itakuwa updated kila baaada ya wiki moja...karibuni sana
wana jf kuna kiwanja ukubwa 21,000 mita za mraba,kipo bunju kimepimwa ila hakijapatiwa hati na pia luna nyumba 2 zipo tip top manzese zipo maeneo mazuri ya kibiashara.piga 0753 953260 kama utahitaji
wadau ninapangisha nyumba zangu kwa watu wanao hitaji zipo majohe kichangani (ilala) zina bed room 2, sitting room 1, kitchen, bafu na choo, kila 1 ina luku yake na maji yapo nimechimba kisima...
Kuna rafiki yangu huku Arusha anahitaji mbao za kujengea shule so mwenye namba za watu wanao uza mbao huko Iringa anisaidie pls
1. 3 by 2 mbao 400
2. 4 by 2 mbao 250
3. 6 by 2 mbao 100...
Nimesikia habari za majambazi kuu mtu na kupora duka la madawa la Fedex. Kwa anayejua details la eneo hilo la duka yalikofanyika mauaji anijuze tafadhali, nna ndugu yangy afanyia kazi hayo maduka...
Hivi jamani hapa Tanzania kuna chama cha kutetea masilahi ya wahasibu ? Kama kipo mbona hatukisikii ?
Kwa tafiti nilizozifanya inaonesha watu wanaofanya kazi za uhasibu kwa hapa Tanzania wanalipwa...
naomba Msaada wa link ya Mitsubishi rice harvesters ama combine harversters za Mitsubishi hasa M1650, kwa yeyote anayefahamu nitapenda kupata na bei zake pia
Uganda's energy minister said late on Sunday that commercial oil production could begin as early as next year after London-listed Tullow Oil signed two production-sharing agreements with the...
Wakuu naomba mnieleweshe ni process gani za kufuata ili kuwa wakala wa m-pesa ama tigo pesa. Je leseni yake inatolewa na BOT ama TRA? Au waweza tumia leseni yoyote ya biashara kufanyia hiyo ya...
Wapendwa wana Jamii Forum,
Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Ni makampuni yapi yanaweza kufanya...
BAADHI ya maghorofa yanayochipuka kama uyoga jijini Dar es Salaam na kwingineko nchini, yanatokana na shughuli za usafishaji wa fedha haramu.
Shughuli hiyo inafanyika kwa wafanyabiashara hao...
The government yesterday refuted allegations that it had investment links and a business relationship with late Libyan leader Muammar Gaddafi, stating that he had never invested in the country...