Gharama za kuchimba kisima kwa matumizi ya nyumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kuchimba kisima kwa matumizi ya nyumbani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kysh, Feb 4, 2012.

 1. K

  Kysh New Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Wapendwa wana Jamii Forum,
  Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
  Ni makampuni yapi yanaweza kufanya hii kazi kwa haraka na bila usumbufu?
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  imeshajadiliwa humu na kutolewa ushauri wa ki-taalamu, itafute!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Gharama from what is(mwanzo) hadi mwisho ni karibia 1.8m,usisahau kuyapima maji yako kwa wataalamu wakupe na certificate
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,358
  Likes Received: 6,700
  Trophy Points: 280
  Mkuu cheti hutolewa kwa sbb gani?nn faida yake?
   
 5. K

  Kysh New Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nitajaribu kusearch tena, ila ningeshukuru kama unge-attach na link.
  Thanks.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wekeni hio link kama imejadiliwa.....hata mie ningependa kujunza
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
Loading...