napangisha nyumba ( majohe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

napangisha nyumba ( majohe)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 19don, Feb 7, 2012.

 1. 1

  19don JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wadau ninapangisha nyumba zangu kwa watu wanao hitaji zipo majohe kichangani (ilala) zina bed room 2, sitting room 1, kitchen, bafu na choo, kila 1 ina luku yake na maji yapo nimechimba kisima kirefu
  n;b 200,000 tsh kwa mwezi
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  majohe ndo wapi?? ruvuma singida tabora
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Pugu walipopelekwa waathirika wa kipunguni nahisi na hutyu ni mmoja wapo akarekebisha fasta sasa anatafuta hanga mwenzake...mbele ya pugu kajungeni kama sijakosea
   
 4. 1

  19don JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tatizo mnakaa musoma au bukoba ndio maana hamjui, majohe ipo kabla ya hao wahanga wenu, majohe ni kabla ya pugu ,upande wa kulia , kama kuwasaidia hata mtoto wa mkulima ni mkazi wa mitaa hii acheni zarau
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Majohe kichangani (ilala)
   
Loading...