Blender kwa ajili ya juice ya biashara

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
Hello wana jf! nataka kununua blender ya juice kwa ajili ya biashara, naomba ushauri make gani ndio nzuri, itakayo dumu na kuchapa kazi vizuri?

Asanteni
 
Kenwood ya chuma (kuna chuma au stanlestil an Plastic for domestic use) you wont regret... frice kuanzia 80,000 and above!!!
 
Kenwood ya chuma (kuna chuma au stanlestil an Plastic for domestic use) you wont regret... frice kuanzia 80,000 and above!!!

Asante mkuu,

Wapi zinapatikana hizi blender? Kama ni hapa hapa Bongo, basi nielekeze nikabebe moja.
 
Tafadhali tuelekeze zinakopatikana kwa wakazi wa dar...shukrani
 
Back
Top Bottom