Smart Finance
Member
- Apr 10, 2025
- 35
- 114
Hii ni wiki ya 16 Kwa Mwaka huu 2025. Ni wiki ya kufanya mapinduzi kwenye maisha yetu, ni wiki ya mabadiliko hapa Smart Finance! Wiki hii, tunakwenda kujifunza njia saba za kuacha mambo yote yanayokukwamisha kufikia mafanikio yetu.
Kila siku, tutajifunza njia moja muhimu ambayo itatusaidia kuvuka vizingiti na kusogea karibu zaidi na ndoto zetu.
Ukikaa na tabia, watu au mazingira yasiyo na tija — ni ngumu sana kufanikiwa. Lakini ukijifunza namna ya kuachilia vilivyokuzoea, unaweza kuingia kwenye ukurusa mpya wa mafanikio.
Hakikisha hukosi hata siku moja! Jifunze kila somo, na ulifanyie kazi, na anza kutengeneza maisha unayoyataka.
Masomo yote BURE na yatatolewa kupitia Telegram & WhatsApp pekee. Bonyeza Linki hapo chini kujiunga
Telegram:
Whatsapp:
whatsapp.com
📘Smart Finance - Maarifa sahihi, Taarifa sahihi

Smart Finance - SW
Channel • 81 followers • Karibu tujifunze pamoja Maarifa ya kifedha, Masoko ya Mitaji, Mbinu Bora za usimamizi wa rasilimali Pamoja na njia za kukuza kipato Kwa Mafanikio endelevu. Smart Finance - Maarifa sahihi, Taarifa sahihi