Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hongereni kwa kazi wadau. Nina mtanganyika mwenzangu yuko USA kimasomo. Katika muda wake huko angependa kufanya biashara ya vitu mbalimbali na watanganyika tulioko huku. Yupo kihalali huko na ana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni miongoni mwa mawakala ambao kilio chetu ni kufanya kazi bila malipo ( commision ).Toka mwezi wa 12/2011 sijapewa SECOND SIM kila ukienda kwenye Office za Vodacom hapa mjini Mwanza wanasema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A Focus on Alaska, Norway and Nigeria. Read on at http://commonground-usa.net/cdann.htm. Baada ya kusoma nimejiuliza maswala kadha 1. Serikali inapata pato kiasi gani kutokana na maadini na...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Nimesikia kupitia tbc habari kuwa malawi itashusha thamani ya pesa yake kwa 50% ili kuokoa uchumi wake. Wadau wa masuala ya pesa naomba nifungueni nipate kuelewa ni kwa namna gani hii inaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
it was good to see students getting support from telecom company Tigo at the IFM career day held recently. With hundreds of participants streaming through, through out the day , it was a great...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
ndugu wanajamii..nimeamua kuandika habari hii iliyonitokea mimi binafsi jana.... nina kituo cha kufanyia biashara ya TiGo pesa....na yupo dada anaefanya biashara hiyo. kilichotokea jana..muda wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari kutoka Mtera zinaashiria kuwepo kwa upungufu wa maji ktk mabwawa ya Mtera na Kidatu ifikapo July, kutokana na mvua haba. Wenye jenereta ni wakati wa kufanya service. Wazee wa welding...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uma isiyoeleweka na wanakata pesa ovyo sijui TCRA wako wapi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepata nyepesi nyepesi kutoka ndani ule Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya upo katika hati hati ya kufilisika nasikia serikali haipeleki michango yake na imekopa na kukomba pesa ya Mfuko huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi katika mihangaiko yangu hapa jijini Dar es salaam ilinifikisha katika Bank NMB tawi la Bank House makutana ya Samora na Mtaa wa Pamba. Nilipoingia ndani ya Bank nikashangaa kukuta watu kama...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wadau, Nimekua nikisoma kwenye magazeti mbalimbali pamoja na kusikiliza redioni kua Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuuza nyumba zake zilizoko mchikichini, ilala, Dsm. Niseme...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Starting a business that addresses the frustrations of customers can be one ways of identifying a business idea. If you notice that so many people are getting frustrated by something then you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NSSF has now ventured into extending its services to Tanzanians living abroad through special Diaspora coverage scheme called Welfare Scheme for Tanzanians in the Diaspora - WESTADI Visit NSSF...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uhusiano kati ya Ujasiriamali na Uchumi wa Nchi Mawazo ya kwamba kuna Uhusinao kati ya Ujasirimali na Uchumi yalikuwepo tangia zamani na hata Adam Smith aliongelea hili, Ujasirimali ndo chombo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF,nina mpango wa kufungua ofisi katika mtaa flani katika jiji la Arusha,na ofisi itahusu computer repairs and maintenance,nimejaliwa sana kuwa competent katika kazi hii na ninaifanya...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Tumekuwa tukisema tunasaidiwa makaratasi yanayoitwa pesa miaka mingi na umasikini wetu umekithiri. Kuna haja ya kusaidiwa misaada thabiti ya maarifa, kama ni kuzalisha bidhaa muhimu ze nye soko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AFRICA | Facebook 1. The Serengeti, Northern Tanzania The Serengeti National Park offers the absolute classic African safari setting. The migration of millions of wildebeest and zebra starts...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu.! Naomba tujikumbushe matangazo yaliyowahi kubamba sana hapa tz, pia yale ambayo yana utata tujadiliane kujua nini hasa ilikuwa 'idea' na ujumbe wa mtunzi. Lakini je yana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwananchi la leo wanasema “Alisema kuwa wataalamu wa ujenzi wa mradi huo watatoka nchini Brazil na kwamba tayari makubaliano yamekwishafanyika kinachosubiriwa ni fedha na kiasi kinachohitajika ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…