Tigo Mbona hamweleweki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo Mbona hamweleweki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mnama, May 7, 2012.

 1. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde kwa speed hii mnayotupeleka acheni hizo maana hata huduma zenyewe za kungaunga mara simu haipatikani mara hamsikilizani hata TCRA noa wamekaa kimya . TCRA kuweni kama ewura tangazeni bei elekezi au lazimisheni makampuni yawe yanatangaza kwenye magazeti gharama halisi za kupiga simu kila mwezi au mabadiliko yanapotokea na pia ubora wa huduma uzingatiwe sio unalizimika kukata simu na kupiga tena ili msikilizane.
   
Loading...