Uhusiano kati ya Ujasiriamali na Uchumi wa Nchi

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Uhusiano kati ya Ujasiriamali na Uchumi wa Nchi

Mawazo ya kwamba kuna Uhusinao kati ya Ujasirimali na Uchumi yalikuwepo tangia zamani na hata Adam Smith aliongelea hili,

Ujasirimali ndo chombo pekee cha kupima ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote ile Duniani, ukichukulia nchi kama
1. USA- hawa wako hapa leo kwa sababu ya wajasirimali wao na kupitia ujasirimali serikali inapata pesa za kuendesha nchi

2. China- Hii inainukia kutokana na ujasirimali

Kwa hiyo kaadri wajasirimali wanavyo ongezeka ndo hivyuo uchumi wa nchi unapanda kwa kasi,

KWA JINA JINGINE WAJASIRIMALI NI MA AGENT WA UCHUMI WA NCHI HUSIKA, WAJASIRIMALI WANA WAKITENGENEZA BIASHARA, BIASHARA ZINATENGENEZA NAFASI ZA KAZI KWA WANACHI NA HIVYO KUKUZA UCHUMI NA PATO LA TAIFA
 
Sijaona uhusiano.

Marekani inasifika kwa kuiba rasilimali za wengine au kununua kwa bei chee.

China inasifika kwa kuiba teknolojia za wengine na kuuza bidhaa feki.

Sikatai ukweli kwamba wana machinery nzuri za kiuchumi na kijamii na serikali ambazo zina mifumo ya kujichunguza, to some extent.
 
Back
Top Bottom