huduma ya HIGH LIFE ZANTEL INTERNET NI UTAPELI MTUPU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huduma ya HIGH LIFE ZANTEL INTERNET NI UTAPELI MTUPU

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tpmazembe, Apr 14, 2012.

 1. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  uma isiyoeleweka na wanakata pesa ovyo sijui TCRA wako wapi.
   
 2. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kujiunga tu na hiyo huduma unaweza subiri hata siku tatu,na wameshusha kutoka 2GB kuja 1GB WEEKLY BILA SABABU ZOZOTE ZINAZOELEWEKA MAANA KUNA WEZAO WA MAKAMPUNI MENGINE WANATOA MPAKA 3GB KWA ELFU 15,ACHILIA HAYO KUJIUNGA NI TABU MITAMBO YAO INASOMA TOFAUTI NA SIMU,UMETUMIA ELFU 5 KWENYE VOICE WANASEMA HUJATUMIA
   
 3. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60

  Sio utani Zantel huduma zao za internet zimekuwa bei juu sana mpaka kero. 1GB (badala ya 2GB ya mwanzo) unaigharamia kwa zaidi ya tsh 15elfu kwa high life, kupiga kwenda mtandao wowote kwa kutumia line yao ni zaidi ya 3tsh/sec (hata zantel kwenda zantel), mpaka wengine tumeanza kuingia kwa machale.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Amia airtel.
   
 5. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,715
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  hiyo nayo iko slow utadhani konokono...ni marangirangi tu ya damu na mbwembwe za matangazo kama ilivyo kawaida ya wahindi na mazagazaga yao
   
 6. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wanakula mapera kwa SHAMBA ya bibi.! Kila mjukuu/kitukuu ni muekesaji..sheeeh
   
Loading...