Jamani Vodacom M-PESA Huu Ni Unyanyasaji kwa Mawakala wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Vodacom M-PESA Huu Ni Unyanyasaji kwa Mawakala wenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Eraldius, May 9, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mimi ni miongoni mwa mawakala ambao kilio chetu ni kufanya kazi bila malipo ( commision ).Toka mwezi wa 12/2011 sijapewa SECOND SIM kila ukienda kwenye Office za Vodacom hapa mjini Mwanza wanasema tunasubilia zitumwe kutoka Dar es salaam. Na haya yote tunafanyiwa na mawakala wakuu mnao waweka tuwe chini yao.Na serikali ijuwe vodacom ina mawakala wengi nchi nzima lakini hawawajui hao mawakala wao ndio maana tunapata tabu kama izi. Kuna baadhi ya watu wanafaidika wenyewe kwa kutulazimisha tulipie 60000.00 watutengenezee hiyo 2nd SIM. VODACOM JAMANI MTUONEE HURUMA.
   
Loading...