Ushauri tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri tafadhali

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mkeshahoi, May 9, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hongereni kwa kazi wadau..

  Nina mtanganyika mwenzangu yuko USA kimasomo. Katika muda wake huko angependa kufanya biashara ya vitu mbalimbali na watanganyika tulioko huku. Yupo kihalali huko na ana mikataba na maduka na makampuni yanayozalisha na kuuza bidhaa mbalimbali kama vifaa vya electroniki, kompyuta, nguo na vinginevyo....

  SWALI: -Kwa wenye ufahamu, hali ya soko la aina hii ya bishara ikoje?
  -Changamoto kubwa katika aina hii ya biashara ni nini?

  Nawakalisha na ahsanteni
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  wataalam wa hii biashara watakuja muda si mrefu, i wish you all the best mkuu

  mkijipanga mtafanikiwa ...market ya quality product ipo kubwa

  trust will be the key to success
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  jinobluu.. masaa karibu kumi hamna jembe litakalomwaga mafikra.. duh!?
   
Loading...