Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika hati hati ya kufilisika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika hati hati ya kufilisika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Karikenye, Apr 28, 2012.

 1. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimepata nyepesi nyepesi kutoka ndani ule Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya upo katika hati hati ya kufilisika nasikia serikali haipeleki michango yake na imekopa na kukomba pesa ya Mfuko huo:

  Source: Ya kuaminika sana!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyi serikali inakomba kila mahali, NSSF nako nasikia hali ai shwari!!!!
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Nikweli. Siyo NHIF tu, bali mifuko mingi ambayo serikali inachangia au inapaswa ipeleke michango ya watumishi wake. Miradi yenye local counterpart contributions pia haijapata kitu.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  all signs of a a failed state.... kuna tatizo la accountability kubwa sana
   
 5. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Sshhiiii.!! HERI mimi cjasema.
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  hawawezi kukubali ufe maana ndio mrija wa kupatia hela za bure kutoka kwa waatumishi
   
Loading...