Wizi huu TiGO Pesa haukubaliki hata kidogo

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
ndugu wanajamii..nimeamua kuandika habari hii iliyonitokea mimi binafsi jana....

nina kituo cha kufanyia biashara ya TiGo pesa....na yupo dada anaefanya biashara hiyo.

kilichotokea jana..muda wa saa saba mchana simu yangu ilikata network gafla...nikajua labda ni matatizo ya network..
nikazima simu na kuwasha bila msaada.

baada ya saa moja na nusu ikabidi niulizie kwa jamaa zangu..wakaniambia wanapata network...

kumbe on the other side kuna mtu aliblok laini yangu;akairenew namba yangu then akawasiliana na dada wa dukani kwangu kwamba amtumie hela kias cha laki 5 kwenye laini ya tigo pesa aliyoitaja na nyingine ya mpesa....dada kupiga simu ikapokelewa kwa sauti ya upole sana....akashawishika..
comision yangu ilikua imeingia siku hiyo na float kadhaa ikaenda na maji.....

nimeskia haya pia yametokea kwa watu kama sajuki na alikiba...........hivi huu mtandao wa Tigo tuufanyeje??

wizi wa waziwazi kama huu tumlilie nani?.....TCRA mko wapiii???sina msaada wowote hadi hivi sasa..wanasheria mnanisaidiaje...................mbona mpesa hamna huu ushenzi??nadeclare TIGO ni kampuni ya wezi kama wataendelea kulinda uozo huu...............sio suala la pasword wala nn..kwa nn mnakubali kublok laini na kurenew kirahisiii???

nimiebiwa jumla laki 9
 
PIN. Pata longterm yake na maana yake na uelewe maana yake siku nyingine hutaibiwa
 
kwani hii nayo ni siasa?? peleka sehemu yake huko kwenye teknolojia ama biashara plssss
 
Pole sana kaka , hawa TIGO ni wezi sehemu zote sio kwenye Tigopesa tu hata kwenye vocha hasa ukiwa post paid ni balaa. itakufa si siku nyingi hii kampuni, mark my words
 
mtumie salam januar atasemaje, mitandao yote ni wezi, zantel wanaendesha bahat nasibu hujui wapi inachezeshwa.. wizi mtupuu
 
kampuni ya Tigo ni mdebwedo kama Tigo yenyewe.
Mi nachoweza kukushauri nenda kwa mganga kasome albadili.
 
Kwani kublock namba na kui-renew kunahuciana na kubadilisha password ya tigopesa..? Nijuavyo mie simline haiuhuciani na tigo pesa unless atokee mtu anaeijua pasword yako.. Hebu wahucishe Polisi.. Wanaweza (kwa msukumo) wakagundua who siphoned ur money..
 
Pole sana mkono wa paka, hii ilishawahi kunitokea hata mimi coz na mimi ni wakala wa tigopesa.

Wanaofanya huu mchezo ni wafanyakazi wa tigo wenyewe ndani ya kampuni kuna wezi sana na sijui kwann wanafuga wezi!!
Mimi na kushauri kama una mtu unayemfahamu mfanyakazi wa tigo mtumie huyo kupata pesa yako na ndio mimi nilivofanya akawa amekiri na kunirudishia pesa yangu yote.

Tigo ni wezi sio siri.
 
ndugu wanajamii..nimeamua kuandika habari hii iliyonitokea mimi binafsi jana....

nina kituo cha kufanyia biashara ya TiGo pesa....na yupo dada anaefanya biashara hiyo.

kilichotokea jana..muda wa saa saba mchana simu yangu ilikata network gafla...nikajua labda ni matatizo ya network..
nikazima simu na kuwasha bila msaada.

baada ya saa moja na nusu ikabidi niulizie kwa jamaa zangu..wakaniambia wanapata network...

kumbe on the other side kuna mtu aliblok laini yangu;akairenew namba yangu then akawasiliana na dada wa dukani kwangu kwamba amtumie hela kias cha laki 5 kwenye laini ya tigo pesa aliyoitaja na nyingine ya mpesa....dada kupiga simu ikapokelewa kwa sauti ya upole sana....akashawishika..
comision yangu ilikua imeingia siku hiyo na float kadhaa ikaenda na maji.....

nimeskia haya pia yametokea kwa watu kama sajuki na alikiba...........hivi huu mtandao wa Tigo tuufanyeje??

wizi wa waziwazi kama huu tumlilie nani?.....TCRA mko wapiii???sina msaada wowote hadi hivi sasa..wanasheria mnanisaidiaje...................mbona mpesa hamna huu ushenzi??nadeclare TIGO ni kampuni ya wezi kama wataendelea kulinda uozo huu...............sio suala la pasword wala nn..kwa nn mnakubali kublok laini na kurenew kirahisiii???

nimiebiwa jumla laki 9

iko hivi, ukiweka pesa benki, kama ukikuta balance imepungua benki lazima wakupe uthibitisho kwamba AUTHORIZED person ndio ameichukua, kama mtu aki-forge signature yako benki wakampa pesa kutoka account yako, hujaibiwa wewe, imeibiwa benki.

ni jukumu la tigo kuhakikisha hilo halitokei, kama imetokea basi we wabane, wanatakiwa kukulipa, sio wewe unayetakiwa kuhakikisha watu hawajipenyezi na kukuibia, unless umewapa password yako.
 
ndugu wanajamii..nimeamua kuandika habari hii iliyonitokea mimi binafsi jana....

nina kituo cha kufanyia biashara ya TiGo pesa....na yupo dada anaefanya biashara hiyo.

kilichotokea jana..muda wa saa saba mchana simu yangu ilikata network gafla...nikajua labda ni matatizo ya network..
nikazima simu na kuwasha bila msaada.

baada ya saa moja na nusu ikabidi niulizie kwa jamaa zangu..wakaniambia wanapata network...

kumbe on the other side kuna mtu aliblok laini yangu;akairenew namba yangu then akawasiliana na dada wa dukani kwangu kwamba amtumie hela kias cha laki 5 kwenye laini ya tigo pesa aliyoitaja na nyingine ya mpesa....dada kupiga simu ikapokelewa kwa sauti ya upole sana....akashawishika..
comision yangu ilikua imeingia siku hiyo na float kadhaa ikaenda na maji.....

nimeskia haya pia yametokea kwa watu kama sajuki na alikiba...........hivi huu mtandao wa Tigo tuufanyeje??

wizi wa waziwazi kama huu tumlilie nani?.....TCRA mko wapiii???sina msaada wowote hadi hivi sasa..wanasheria mnanisaidiaje...................mbona mpesa hamna huu ushenzi??nadeclare TIGO ni kampuni ya wezi kama wataendelea kulinda uozo huu...............sio suala la pasword wala nn..kwa nn mnakubali kublok laini na kurenew kirahisiii???

nimiebiwa jumla laki 9

Tigo wanawajibika kukulipa hela zako

Usikae kimya na hili lililotokea,

Nenda waone ofisi zao uwaeleze wakulipe.

Wakikataa issue yako peleka magazetini and final solution ni kwenda court tu. Tafuta law firm, wape vielelezo vya kutosha, wao waendeshe kesi kwa makubaliano.
 
Tigo ni mdwebwedo sana. Hata mm waliwahi kublock na kurenew line yangu na kumpa mtu mwingine. Akaanza kumsumbua dogo kwa msg amuingizie tigo pesa akijifanya ni mimi. Dogo akanipigia kwenye simu yangu ya voda kuconfirm ndipo nilipostuka kwamba line yangu ya tigo uko out of service.

Tigo wanatakiwa wajirekebishe kwenye hili maana inaonesha wanashirikana na wezi.

Pili unahitaji kuwa na internal controls za kutosha kama vile kutomuonesha mtu yeyote pass word yako pamoja na kuwahimiza watu wako waconfirm na wewe transaction unazowaagiza kwa alternative lines/means. Usi encourage kabisa mabo ya message kuistruct transanction, wazoeshe wafanyakazi wako kwamba you can only call them for these kind of instruction.

Nina uzoefu, nilishawahi kulizwa 1m ndani ya siku moja.
 
Kwani kublock namba na kui-renew kunahuciana na kubadilisha password ya tigopesa..? Nijuavyo mie simline haiuhuciani na tigo pesa unless atokee mtu anaeijua pasword yako.. Hebu wahucishe Polisi.. Wanaweza (kwa msukumo) wakagundua who siphoned ur money..

Nilivyomuelewa mimi ni kwamba huyu mtu ana simu yake na pia ana dada anayemfanyia biashara ya tigopesa! Kilichotokea nafikiri kuna mtu anajua namba yake na anajua jamaa ana biashara ya tigopesa! So huyu mtu akablock laini yake then akai-renew na akampigia dada wa kibanda amtumie pesa! Nahisi ulielewa tofauti mdau
 
Hapo n anae zju pacword na detail za lain hyo kwan c lahis kurnew namba bila ya kua na detail zako xo hapo mmeibiana wenyewe pia lazma pasword zako pia zlkua waz dat y ukaibiwa
 
Back
Top Bottom