Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa...
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Hello Wana JF; Leo nakuja na Mada hii inayohusu KARAMA au wengine huita KIPAWA/KIPAJI. * Ifahamike kuwa kila binadamu aliyepo hapa duniani, basi kaletwa kwenye uwanja wa mapambano, mapambano...
4 Reactions
9 Replies
843 Views
0 Reactions
28 Replies
911 Views
Nikiwa nipo zangu Mgahawani hapa kariakoo napata sharubati ya Maembe. Ng'ambo ya pili likapaki gari la mizigo na wabebaji (Makuli) wakafika na kuanza kazi ya kupakua ule mzigo. Kile kitendo...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
MBAO.. Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni...
1 Reactions
2 Replies
715 Views
Habari Mimi ni kijana mpambanaji App gani kwa sasa nzuri za kuuza na kununua bidhaa mtandaoni Mfano kupatana
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Imani ya watu kwa Asasi za Kiraia imekuwa ikishuka siku hadi siku, si kwa Tanzania pekee, hata nje ya Tanzania. Tafiti iliyofanywa na Gallup and Wellcome mwaka 2022 inaonyesha kwamba asilimia 32...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Ndugu wataalamu, kuna mdogo wangu yuko chuo anaanzisha biashara ya kuuza vitu mtandaoni. Kila kitu tayari hadi usajili wa Brela (kasajili jina la biashara). Ishu ipo kwenye masuala ya TRA, TIN...
0 Reactions
8 Replies
611 Views
Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara? Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa. Watu...
1 Reactions
3 Replies
581 Views
Usajili wa Kampuni unaweza kufanyia ndani ya muda mfupi sana, lakini Kuna sababu kadhaa zinazoweza kupelekea usajili kuchelewa, kwenye article hii nimekuandikia baadhi ya mambo hayo. 1. Utoaji wa...
2 Reactions
12 Replies
796 Views
Msaada jamani ninahitaji kufahamu kuhusu biashara ya mabondo ya samaki
0 Reactions
16 Replies
1K Views
kiwanja kipo karibu na barabara ya lami kina ukubwa wa sqm 1700 bei milioni 70 mazungumzo yapo mawasiliano 0659962452
0 Reactions
0 Replies
285 Views
1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya...
5 Reactions
6 Replies
700 Views
Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni: 1...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..? Na haya ndio majibu iliyonipa.. Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali...
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali...
2 Reactions
4 Replies
770 Views
1. DALL-E: A paid program from OpenAI. It can create realistic images from text. 2. RunwayML: A paid platform that provides advanced AI-powered design tools. It enables image editing, video...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Habar za humu ndani,natumai ni wazima wa afya. Mimi ni kijana wa miaka 22 nimebahatika kufika chuo,saiz nipo mwaka wa pili. Nilikua ninawazo la kuwa mbunifu wa jezi za mpira wa miguu katika...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used. Sikuwahi kumiliki...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…