Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Good News people! Tigo subscribers can now buy the ‘Xtreme’ package via Tigo Pesa accounts and get an instant bonus of Tsh 450 to call all networks!!!! We can buy packs for friends, family and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997, Milango mitano(Saloon), lakini gharama za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
By: Geofrey Tengeneza The Tanzania Tourism Board (TTB) and Ethiopian Airline (ET) have signed a Memorandum of Understanding (MoU) for a two year cooperation to promote Tanzania abroad for mutual...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Hello, Nimepata habari ya kwamba tray la mayai kutoka nnje ya nchi linauzwa kwa shs. 4000. Ningependa kujua haya mayai yanatoka nchi gani ?? Yamethibitishwa na tbs kuwa yanafaa kwa matumizi ya...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997,(Saloon), lakini gharama za kuikomboa gari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimesoma kwnye news kuwa CHAI BORA LTD inauzwa kwa kampuni moja inaitwa Catalyst F&B Holdings LLC, Hii kampuni ni ya wapi na nani mmiliki?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau. Inakuwaje pale umesajili kampuni brela lakini bado hujapeleka vielelezo vyako tra kupata tin na leseni na biashara,hapo tra wana uhalali wa kukubana ulipe kodi? Sent from my...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna gari nimeagiza toka japan aina ya pajero ya mwaka 2004 yenye cc 1300 . na gharama zote nilizolipa hadi kufika dar ni dola 3500. JE NITAILIPIA USHURU KIASI GANI plus na clearing agent...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wadau naombeni msaada wenu hasa wale wenye uzoefu na masuala ya NGO'S,kuna Ngo ilikua ina operate tokea mwaka 1998 mpaka 2007 ambapo ilikuja ku cease kutokana na founder wake kufariki,na hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kununua Moving Camera zenye Quality nzuri. Nahitaji 3. naomba kujua yafuatayo: Ni Moving Camera ya aina gani yenye ubora. Ni maduka yapi naweza kupata Used. Yaweza kuwa Tsh ngapi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HATIMAYE Serikali imeamua kuvunja ukimya na kutoa uamuzi kuhusu sakata la umiliki wa hisa za mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuamuru wananchi pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo mbagala,imekamilika ujenzi bado kupaua/kuuzeka tu. choo kimechimbwa na kujengewa. eneo linafikika ni jirani na nzasa shuleni bei ni 25 ml. dalali hatakiwi kama unahitaji nipm:help::help:
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu wana JF nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusambaza maofisini na mashureni(Stationary Materials), Nimesikia kuwa inatakiwa uwe na leseni(license) ya kufanya biashara hiyo. Napenda...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakati wakulima wa korosho wanahadaiwa - mganda anasema mambo poa. He makes Shs10m from cashew nuts a year - Farming - monitor.co.ug
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Naomba mwenye weledi anifafanulie maana na mantiki ya Green Certificate inayotolewa na TRA, nasikia inatuumiza sana kama ilivyokua kwa Tax Holiday
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The irony of low-cost National Housing Corporation houses being sold at prices well beyond the means of most Tanzanians played itself before President Jakaya Kikwete as he unveiled the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
By TIMOTHY KAHOHO Special Correspondent Posted Saturday, December 15 2012 at 15:04 IN SUMMARY Funds will be used for construction of railway lines, ports and roads to boost trade with...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana ndege mpya kubwa aina ya AIR BUS imezinduliwa na kampuni ya Fast Jet yenye uwezo wa kubeba abiria 150-200. Ni jambo zuri na la kusifiwa sana,sasa tatizo ni nauli kati ya makampuni hayo hapo...
0 Reactions
91 Replies
13K Views
The Government faces difficult choices of approving the 81.27 percent increase in electricity tariffs or continue spending tax-payers monies estimated at Sh160 billion in monthly subsidies to the...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Back
Top Bottom