Uhaba bidhaa za kwanza (Coka Cola) Mitaani - Bei hazieleweki -Je ni 6000 au 7000 kwa carton moja?

kfatherd

Member
Dec 11, 2012
75
70
Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000 ukinunua kwa main distributor.

Na cha kushangaza supply yake ni mbovu main distributors wanaleta aina moja kila baada ya siku mbili ( kama leo mbagala wameleta coke tu.... juzi fanta. Je tatizo ni nini? Uzalishaji au uwezo wa distributors?

Mwisho naomba kujuzwa bei halisi ni shiling ngapi kwa katoni anayotakiwa kuuza main distributors? Na kwanini watu wamarketing wameachia soko linayumbishwa bila kufuatilia? Kwani lengo la offload distribution ilikuwa ni nini kama hamuwezi fuatilia nyendo za main distributors?

Naomba kuwakilisha!
 
kfatherd

Member
Dec 11, 2012
75
70
Inakuwaje usambazaji wa products tajwa hapo juu si wakuaminika.... jana nilikuwa mbezi tangi bovu... situation is the same. Can you guys say something?
 
Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,318
2,000
Wakuu napenda kuuliza je bei halisi ya bidhaa hasa soda za kwenye maplastic ni shilingi ngapi kwa katoni moja? kwani main distributors wa mbagala wanauza bei kuanzia 6000-7000? magomeni 7000 ukinunua kwa main distributor.

Na cha kushangaza supply yake ni mbovu main distributors wanaleta aina moja kila baada ya siku mbili ( kama leo mbagala wameleta coke tu.... juzi fanta. Je tatizo ni nini? Uzalishaji au uwezo wa distributors?

Mwisho naomba kujuzwa bei halisi ni shiling ngapi kwa katoni anayotakiwa kuuza main distributors? Na kwanini watu wamarketing wameachia soko linayumbishwa bila kufuatilia? Kwani lengo la offload distribution ilikuwa ni nini kama hamuwezi fuatilia nyendo za main distributors?

Naomba kuwakilisha!

Wafwate coca-cola pale mikocheni.....watakua na majibu ya maswali yako yote !! Hutapata jibu lililo nyooka humu !! Barikiwa !!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom