Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Salaam Wanajamvi, Nina kiwanja cha kama square meter elfu mbili na nne ambacho nataka kukigawanya kiwe plot tatu zenye title kila moja.... naomba msaada wa jinsi ya kufanya hivyo bila gharama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The government has said it is working out mechanism to regulate prices of digital broadcasting decoders in a bid to serve interests of service both providers and consumers. Opening a one-day...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Wakuu habari za sikukuu. Naomba kujuzwa zaidi juu ya Capital Gain Tax. Nataka kuuza property yangu lakini kwenye mkataba kumeandikwa capitial gain tax ni jukumu langu. Jee hii hulipwa % kutokana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hey great thinkers na idea angu ya kufungua stores ya kuuza mazao kama mahind, na maharage hapa dar ,ila bado sijajua location nzuri, na pia naomba mwenye kujua changa moto ya hi biashara na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwa waungwana wote. Nimeamua kujenga ka-jumba kangu Morogoro na ningependa kujenga kwa matofali ya kuchoma. Swali - Je Kuna mtu anajua tofali imara za kuchoma zinapatikaneje (kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tpa carries the loads for 7 days free,tra they ensure system is down for such period that tpa eventually will charge and this has been confirmed as a deal between tpa and tra. Why should a car...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
FEASIBLE RESOURCES (T) LIMITED tunatoahuduma ya kuanda Memorundum & Articles of association kwa wajasiliamali wanaohitaji kusajili kampuni. Kwa mawasiliano tumia email...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bakhresa (kulia) alipokuwa akisalimiana na rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein Orodha ya jarida la Forbes la watu 40 matajiri zaidi barani Afrika imetupa jibu la ‘uhakika' nani ni mtu...
0 Reactions
103 Replies
30K Views
Norwegian energy firm Statoil has found more gas offshore Tanzania, its third discovery in the country this year, putting it closer to having the resource needed to make commercial development...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi nilikuwa kwenye dula moja la hapa jijini, akaja mteja mmoja akilalamika juu ya vocha yake ya sh 500 ya Airtel imekwanguliwa vibaya, Mwenye duka akamwambia hana jinsi inabidi jamaa aipeleke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba kuwasilisha kwenu maombi ya msaada wa kujua hatua za kusajili gazeti na mahitaji yake. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nipo hapa Oliver Tambo Airport naiona ndege ya ATCL iliyokodishwa ipo imepaki jee tayari wamesha vunja mkataba tena au ndio maumivu ya kichwa huanza pole pole kutokana na kazi ya Fast jet...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The Tanzania Bureau of Standards (TBS) impounded a container with substandard condoms of different lots known as’ Melt Me’ imported from India. Speaking to reporters yesterday in Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The newly appointed Board of Directors of the Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended several top officials, including four operational directors, eight managers of various departments and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anatafuta soko la mafuta ya alizeti pamoja na soko la mashudu/makapi - hapa anataka kuingia mkataba na viwanda vinavyohitaji mashudu kwa ajili ya kutengeneza...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
High-End tourism in Serengeti National Park will receive a welcome boost in the near future with the news that the nearby Mugumu airstrip is to be rehabilitated and reopened as an international...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NEW YORK - The New York Stock Exchange (NYX) is being sold to a rival exchange for about $8 billion, ending more than two centuries of independence for the iconic Big Board. The buyer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa ni mtandao gani ni rahisi zaidi kwa maana ya charges kupiga simu nje hasa nchi za Uk na Us,mini ni mtu ninaejaribu kuanza kujihusisha na vijibiashara toka nchi hizo mbili,sasa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Set your own hours,call your own shots,run your own business and see what freedom feel like. I can help. Call me: +255762395110 or +255657117377. Email address:21century.bussiness@gmail.com...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Anyone knows please help, with detailed information please
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom