Naweka hapa majibizano ya hawa Thomson Safaris na mteja wao,,jinsi wanavyotuletea nuksi huku Shamba la bibi Serengeti( Ndo maana hata mvua zinachelewa):
Posted 23 January 2013 - 04:03 AM
#2[/URL]...
Beer demand drops in Tanzania? on account of high taxes?
SABMiller, one of the worlds largest brewers, announced growth in lager volumes across most of its markets in Africa. Zambia led the...
Dar es Salaam. Tanzanian consumers are bracing for a sharp rise in the price of electricity next week as regulators announce higher tariffs to offset Tanescos swelling debt.
Regulators Ewura say...
Ndugu zangu mimi nataka kununua simu,nimeona nisiende kichwakichwa niwaulize kwanza ndg zangu hapa,naitaji kununua simu original yenye internet ya bei nafuu,je ninunue aina gani ya simu?nafikiri...
Wanabodi napenda kuwashirikisheni katika suala au kero ya udhaifu wa serikali hii katika kukuza uchumi wa taifa.
1.Nimefuatilia vyuo vikuu vingi na kugundua zaidi ya wanachuo 3000...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi...
Baada ya kuwa Tanzania kwa kipindi cha muda mrefu sana shirika la ndege la Uingereza British Airways sasa kufunga virago tarehe March 29,2013...Source Michuzi Blog.
Maswali ya kujiuliza...
Hivi...
By Aisia Rweyemamu
26th January 2013
Labour and Employment minister, Gaudentia Kabaka
All is not well with Tanzanian youth as statistics show the group is intensely affected by rising...
Coming Soon! www.bid2buy.co.tz is a Tanzania's leading penny auction website where brand new and used electronics, jewellery, watches and accessories fall under the auction hammer everyday and...
Jaman my dream nikuona oneday namiliki duka la pamba za kisasa za mashost na mabraza wa town, nataka kujua mwenye experience kinachoitajika for a beginner esp capital kwa duka la kawaida la kuanzia,
Napenda sana kwenda Mozambique kwa ajili ya biashara. kama vile usafirishaji ,uuzaji wa magari nk. Kwa yeyote yule ambaye anafahamu mazingira ya
biashara huko naomba unipe hali halisi naomba...
The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development yesterday announced the formation of Kigamboni Development Agency (KDA), charging it with planning, building and running an...
Kwa wale wazoefu wa maswala ya bandari na TRA naomba mnijuze kwa kuwa nimeagiza vitu vifutavyo kutoka nje TRA na Bandari wanaweza kunitoza bei gani? 1.Pikipiki 2.TV 32" 3. Power tiller 4.rice...
Kuna watu wengi sana wanaolalamika kushindwa kuanza kufanya biashara kwa madai kwamba hawana mitaji. Ukweli ni kwamba kwa walio wengi madai ya kutokuwa na mtaji siyo ya kweli badala yake ukweli ni...
Ni wapi kwa Arusha yanakopaki magari (Malori) yanayotoa huduma ya kuuza maji masafi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani?
Au mwenye contact za hayo Magari aweke hapa