Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

BRITISH AIRWAYS YASITISHA SAFARI ZA DA ES SALAAM Baada ya miongo minne ya kutoa huduma nchini Tanzania, hatimaye shirika la ndege la British Airways limeamua kusitisha safari zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nina shida ya kujua hatua za kufuata mpaka niweze kuwa na Website yangu kwa ajili ya kufanya au kutangaza biashara mbalimbali katika website hiyo. Mwenye kujua Please!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kuna ukweli gani kuwa hii benki ya China imewaweka kwenye mifuko yao karibuni watoa maamuzi wote pale wizara ya fedha? niliona thread ilianzishwa hapa na majina ya wanaokula pesa za Exim...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
One of the victims of Automated Teller Machines cash theft scam counted three weeks yesterday without any relief or clue as to when she would be refunded her money and access her account. "I...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Heri ya mwaka mpya. Please naombeni kufahamu kodi inayotakiwa kulipwa TRA kama unataka kufungua Consultant Firm. Nina imani wapo wengi ambao ama wanafanya shughuli hii au wana uelewa na hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WEDNESDAY, JANUARY 16, 2013 NDEGE YA PRECISION AIR IKIWA INAWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA MUDA HUU MUELEKEZAJI AKIWA ANAELEKEZA WAPI NDEGE YA PRECISION AIR IPATE KUSIMAMA...
4 Reactions
77 Replies
19K Views
Wana JF leo nimefedheheshwa sana na majibu yaliyotolewa na office za FastJet mara baada ya kuamka asubuhi na mapema na kufanikiwa kufanya booking online kwaajiri ya kusafiri kesho kuelekea...
0 Reactions
77 Replies
8K Views
Naombeni kufahamu kuhusu hilo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ili kuongeza thamani ya Shilingi, inabidi tuzalishe (kwa kulima, kusindika) kwa ajili ya matumizi ya ndani na ziada kwa ajili ya mauzo ya nje. Sasa hawa wazungu (wachina) wameona ili tubaki...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF.. Naomba msaada namna ya kuanzisha NGO, nasikia huko ni rahisi kutoka kimaisha.. ASANTENI..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani naombeni kuuliza mimi nipo nje ya dar saboufa aina ya sipiano kubwa ya spika 2 inayokalibia ile ya spika 4 ndefu ni sh ngapi nisaidieni mnaofaham hasa kwa dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natagemea kuezeka kibanda changu cha kuishi hivi kalibuni lakini nashidwa niweke aina gani ya mabati yenye ubora zaidi yanayoweza kukaa mda mrefu bila ya kuchoka,Mabati ya aina yoyote ile,na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau,nilipita eneo flani hapa dar nikasikia vijana wakibishana,upande mmoja ulikua unasema ukipata pesa afadhali ufanye biashara kwanza ndo baadae biashara ije ikupe makazi,yaani ujenge...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa member yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu makampuni yaliyosajiliwa hapa nchini kwaajili ya shughuli ya udalali/ minada (auction). 1. Je ni wizara gani inayojihusisha na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The East African Energy Blog East African Energy related issues, investment opportunities, analysis and stories WEDNESDAY, 7 NOVEMBER 2012 I had the pleasure of attending the Tanzania Mining...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BANKS are now offering attractive interest rates on deposits where in the last 12 months the market experienced sharp increase, thanks to disequilibrium between demand and supply. The deposits...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika nikiwa nimeboreka na huduma za POSTA! mara nyingi naagiza vifurushi toka nje, na vinakuja kwa njia ya POSTA...bei ya huko vinakotumwa inakuwa ni nzuri ikiwa unatumia POSTA, ukitumia fedex...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Threats, intimidation and deceit surround Mwambani Port decision Image via blogspot.com By Dr. Wolfgang H. Thome, eTN Uganda | Dec 11, 2012 (eTN) Wait for a little...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wabari zenu wandugu Waomba kusaidiwa namna ya kujenga swimming pool,huku ninapoishi hakuna wataalam. Mwenye kuelewa kuhusu ili naomba msaada wake tafadhali. Nawasilisha!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu. Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari. kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom