unaweza kujenga nyumba ya kisasa self container vyumba vinne maeneo ya mbagala chamazi. hipo nyumba inauzwa mbagala kuu karibu na nyumba za NSSF milion 45.blogs www.uwanjawabiashara.wordpress.com.call 0688 184419
Hiyo pesa inatosha kujenga nyumba rooms 3 , kimoja master ,sebule dinning ,public bathroom pamoja na jiko as long u
na kiwanja tayari
Mchanganuo
Matofali 2000 x 1000 = 2 M
Cement 50 bags = 0.7M
Mawe na mchanga 0.7M
Ufundi mpaka lenta= 1.5M
Nondo za lenta =0.8 M
Kupaua
Bati za south 12000 kwa mita bati 90 =3.3M
Kofia. 0.6 M
Mbao za kupaua 3M
Fundi wa kupaua 0.6M
Piga hesabu hadi kupaua alafu imebaki ngapi ntakuja na finishing calculations