Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hivi kuna idara ya serikali au Chuo kikuu ambayo inafanya tathmini ya ule mkutano uliozalisha foleni na karaha hapa Dar?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, naomba mniambie matatizo ambayo, naweza kukumbana nayo endapo nitanunua gari aina ya NISSAN MARCH, kama spares , ubovu, matumizi ya mafuta na kadhalika
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nataka kuwa wakala wa soda za coca naomba mchanganuo yaani bei ya kreti tupu bei ya soda kreti kwa jumla na bei ya kuuzia.halafu arusha huwa naona wakiuza kwenye makontena.je? Hutolewa na kampuni...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LTD (NICOL) THE NICOL SHAREHOLDERS MEETING IS PROPER AND LEGAL. 1. Page 5 of "The Guardian" and page 3 of NIPASHE, both dated 22nd January 2013 carry...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Meet Africa's first female billionaire: Isabel Dos Santos is the daughter of the president of Angola Isabel Dos Santos studied in London and opened first business aged 24 Now owns vast stakes...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hi Guys, did any one ever received a recept with TRA logo at AlBasha Lebanese place nyumba ya Extelecoms? Wengi najua ni wazungu pale na haya mumbo hawaangalii, Mimi na wenzangu napokeaga ka...
1 Reactions
0 Replies
814 Views
Naweka hapa majibizano ya hawa Thomson Safaris na mteja wao,,jinsi wanavyotuletea nuksi huku Shamba la bibi Serengeti( Ndo maana hata mvua zinachelewa): Posted 23 January 2013 - 04:03 AM #2[/URL]...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Beer demand drops in Tanzania? on account of high taxes? SABMiller, one of the world’s largest brewers, announced growth in lager volumes across most of its markets in Africa. Zambia led the...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu kuna hiyo working sheet nilikutana nayo mitaa fulani, nikaona si vibaya nikiwawekea hapa
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeisha negotiate bei na cratrade view na nipo stage ya kulipia. Mwenye uzoefu na hawa jamaa anijuze nisije ingia mkenge.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Tanzanian consumers are bracing for a sharp rise in the price of electricity next week as regulators announce higher tariffs to offset Tanesco’s swelling debt. Regulators Ewura say...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu mimi nataka kununua simu,nimeona nisiende kichwakichwa niwaulize kwanza ndg zangu hapa,naitaji kununua simu original yenye internet ya bei nafuu,je ninunue aina gani ya simu?nafikiri...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wanabodi napenda kuwashirikisheni katika suala au kero ya udhaifu wa serikali hii katika kukuza uchumi wa taifa. 1.Nimefuatilia vyuo vikuu vingi na kugundua zaidi ya wanachuo 3000...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hodi waungwa mgeni wenu:wof:
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Baada ya kuwa Tanzania kwa kipindi cha muda mrefu sana shirika la ndege la Uingereza British Airways sasa kufunga virago tarehe March 29,2013...Source Michuzi Blog. Maswali ya kujiuliza... Hivi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
By Aisia Rweyemamu 26th January 2013 Labour and Employment minister, Gaudentia Kabaka All is not well with Tanzanian youth as statistics show the group is intensely affected by rising...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu na wazoefu nombeni mnijuze nataka kufungua acount. ni bank gani hawana usumbufu na huduma zao ni bora kwa kufanya manunuzi ya online
1 Reactions
18 Replies
560 Views
Coming Soon! www.bid2buy.co.tz is a Tanzania's leading penny auction website where brand new and used electronics, jewellery, watches and accessories fall under the auction hammer everyday and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman my dream nikuona oneday namiliki duka la pamba za kisasa za mashost na mabraza wa town, nataka kujua mwenye experience kinachoitajika for a beginner esp capital kwa duka la kawaida la kuanzia,
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom