Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau leo naomba niweke kero zangu nilizozikusanya over the past few months including today. Huduma zitolewazo NBC kwa kweli si za kuridhisha hususan Corporate Branch hapo Baharini Posta. Kwanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Tume ya Mawasiliano Tanzania, kampuni zote zinazotoa huduma ya Television baada ya kuingia katika mfumo wa Digitali, zinatakiwa kuwa na chanel ambazo si za kulipia (free channels)...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu, Ninaandaa Mkutano (breakfast meeting) na wafanyabiashara. Swala ni kwamba nataka niwakusanye wafanyabiashara ili wakutane na management ya TRA kwa lengo la kuwashawishi kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, habari. Kuna hii kitu kuhusu kujipatia ajira at home na kulipwa commission, je wajuzi wa haya mambo, vipi inahusika au ni miyeyusho tu...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Napendekeza idara ya TRA ingekuwa inatoa nishani kwa wafanyabiashara ambao wamefanikiwa kukua kwa viwango ambavyo wataviweka wao. Iwe wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo. Wahojiwe waweze...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Ndugu wanajf baada ya kutafuta ajila kwa mda mrefu na kukosa nimeamua kujiajili kwa kufungua duka dogo la hardware. Nimeshapata tin na leseni. Changamoto ninayoface ni kuwa mtaji nilioanzia ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF,hasa upande huu wa mabiashara.Ninachoomba wana JF wenzangu ni Business Plan,ya Capital ya Mil 30. Nini mtu anaweza kufanya nazo,ili aweze kupata mafanikio ya kibiashara.Ninaomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UBK/RB/119/2013: WIZI Kibaka anayeonekana katika picha hii ni mwizi mzoefu wa maofisini, ambako hudokoa vitu mezani baada ya kuwapoteza malengo wafanyakazi kutafuta chenji. Anatafutwa kwa wizi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya Mimi ninatarajia kufungua kampuni ya ujenzi. Nimetembelea website ya CRB kucheki jinsi ya kusajili kampuni ila info kuhusu kiwango cha elimu cha mmiliki au partners wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
More than 1,000 furious migrant workers besieged a factory in Shanghai and held 18 Japanese and Chinese managers against their will for more than a day, after the workers were required to abide by...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Wednesday, 25 May 2011 23:13 Steel is produced in this file photo. The construction of the Kamal steel mill will start soon in Bagamoyo, Coast Region. Upon its completion, it will be...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
BoT hit by another mysterious cash loss THISDAY REPORTER Dar es Salaam CONTROVERSY surrounds the mysterious disappearance of a large consignment of local currency notes with a value...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau wa JF,naomba mwenye ufahamu wa michoro na ujenzi wa jumba (kiwanda kidogo) cha ukubwa wa 600 square meters na angalau mita 4 kwenda juu..naomba ushauri wenu na kujua gharama zake,nataka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele! Leo katika mdahalo Wa kisiasa kupitia STAR TV, uliokwenda kwa mada ya "kumbukumbu miaka 49 mapinduzi ya Zanzibar"; katika kupangua hoja zilizotolewa na wachangiaji wengine...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu hii habari ya ving'amuzi ni kero unaweza hata kupiga mtu. Yaani king'amuzi kinarusha picha inanatia kama wale jamaa wa Temeke. Hata ukirekebisha baada ya muda mnato unaendelea,habari zina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The government has managed to recover over 400bn/- in corporate taxes from three big mining companies in the last three years through the audit work done by the Tanzania Minerals Audit Agency...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Study recommends reduction from 112/- to 34/92 Major Telecommunication operators in the country have refused to adopt the new proposed interconnection rate, which would have meant slicing off...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
DEALERS IN: SECURITY AND SURVEILLANCE ·...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya TBL kutoa Bia pendwa ya Castle Lite (CL) Serengeti Breweries (SBL) wameingia sokoni na Tusker Lite(TL). Hata hivyo, inaonekana wanywaji wengi wa Castle Lite ambao wamejaribu TL ikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Germany investors in town.....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom