The Memorandum of the Company na Articles of Association

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,162
794
Hivi ni vitu gani The Memorandum of the Company na Articles of Association?

hasa hii article of assciation inahusika na nini?

na je ni lazima hata kama sijaanza biashara nisajili au nianze kwanza?

naomba ushauri
 
Back
Top Bottom