Mfumo wa Riba umekuwepo kwa miongo kadhaa sasa, mfumo huu ukiashiria kukamilisha kile kisemwacho kua mwenye nacho ataongezewa na asiye nacho, hata kile kidogo alicho nacho kitakwapuliwa.
Riba...
Nilihitaji kuingia ktk website ya CRDB internet banking, cha kushangaza vinafunguka vitu vingine kabisa na wala huduma za kibenki sikuweza kuzipata. Kuna usalama kweli, au wataalamu...
Tarehe 1 July 2011 TRA wanaplan kuintroduce system yao mpya kwa ajili ya valuation ya used motorvehicles...
Mfumo mpya utakuwa kama ifuatavyo...Used vehicles zitakuwa valued on either ex-factory...
Katika ziara ya Rais wa Marekani , Mh. OBAMA miongoni mwa ratiba zake ilikuwa ni kuonana na wafanyabiashara mbali mbali wa kiafrika. Na hakika alifanikiwa kuonana nao wakiwemo baadhi ya wafanya...
SERIKALI imeweka wazi miradi ya umeme ya kipaumbele, itakayotoa matokeo ya haraka ifikapo 2015/2016, na kunufaisha wananchi katika mikoa 13 nchini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter...
Habari zenu wanajmiiforum pole na pilika za maisha mimi niko Dar nina shamba la heka mbili chanika ninaomba mnishauri ni wapi naweza kupata mkopo wa sh 6m kwa ajili ya kufuga kuku wa kienyeji kwa...
Katika pitapita zangu nimekutana na mchezo mmoja wa kamari ya karata ambao huchezwa mtaani....lakini cha kushangaza ni kuwa pamoja na kupigwa marufuku mchezo huu unaendelea. Kitu kingine...
Wandugu narudi Tz, nije na Biashara ya bidhaa zipi zenye Soko la Uhakika Dar au Zanzibar
nina mtaji usiozidi Euro 100,000 (Tzs 200,000,000)
Je ni badhaa gani nitauza au zinahitajika toka nchi Hii...
Habari wana JF,
Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.
Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo...
Habari Wakuu,
Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye information za wapi naweza kupata mashine za kutengeneza toothpics, nahitaji kujua pia zipo za aina gani, ubora na bei pia.
Nafikiria kufanya...
Habari zenu wakuu. nimejitokeza kwenu kwa nia ya kutaka kujua jinsi gan ya kutambua aina ya biashara ya kuifanya ambayo itatoka kulingana na eneo, yan utajuaje kwamba biashara mfano ya vipodoz...
Symbion Power Agrees to Build 400MW Power Plant in Tanzania
2013-02-13 | By David Malingha Doy
Feb. 13 (Bloomberg) -- U.S.-based co. reached agreement with Tanzania Electric Supply Co. to...
Yeyote mwenye hitaji ya kuanzisha biashara ya saloon ya kike anitafute kwa # 0655042717 ama #0756597108 nimuuzie vifaa hivi,draya si za mchina,zimetumika lakin on good condition,bei nzuri kwa...
Wakuu heshima kwenu
Natumaini hamjambo.
Wakuu mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za...
Some Dar es Salaam city house owners have expressed disappointment over the newly introduced property tax rates which have gone by over 100 per cent effective 2013/14 financial year, The Guardian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.