​Nimeagiza gari aina ya PASSO ya mwaka 2004 kwa gharama ya $2170.
Je, nitalipa shipping line na port charges kiasi gani?
C&F agent anataka tsh 200000/= kulitoa
Naomba wazoefu mnijibu.
Kichwa kimeanza kuchoka, ebu niwaze Taifa...
1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank...
Mambo zenu wadau?
Naombeni kufahamu kiundani jinsimradi wa zinduka malaria ulivyokuwa kwa upande wa Clouds.
Ni kampeni endelevu au iliisha ndani ya muda mfupi?
Kuna NGO au taasisi yoyote kubwa...
Napenda kutoa taarifa kwamba kama mtu unataka kusafiri sasaivi usitumie huu usafiri wa precicion maana toka saa tano asubui paka sasaivi saa 10 jioni wanatutangazia kuchelewa na hawatoi huduma...
Wakuu wana JF,
Nasikitika kuwataarifu kuwa TBL wamepandisha bei ya bia kwenye maeneo yetu kabla hata ya siku iliyopangwa kwa madai kuwa serikali imepandisha kodi.
Hivi sasa bei ya kreti ya bia...
Heshima kwenu GTs,
nahitaji mchango wa mawazo yenu hasa kwa wazoefu wa biashara na ujasiliamali.
ninayo tsh 20,000,000. sitaki kuajiliwa kwa sababu nimeshaajiliwa for 5 years toka nlipomaliza...
Habari za kazi ndugu wana JF.
Nimejaribu kufuga kuku wa kienyeji na machotara huko vijijini sehemu za tanga, kwa majaribio hayo nime anza na wachache sana kama 250 wa umri tofauti, sasa wamesha...
Tangu Juni 13, mwaka huu, Waziri wa Fedha, Dk. Willim Mgimwa, alipowasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambayo aliomba bunge kupitisha Sh. trilioni 18.249 kutoka kwenye...
salamu wanajamii
ningependa kujua ni muda gani ukiaply unapata offer na title deed?kuna kiwanja nataka kununua hakijapimwa na mie nakuja bongo for two weeks only
Nahitaji
mtaji kiasi gani ili kufungua duka la kawaida la kuuza bidhaa za
mahitaji ya kila siku kama mchele, sukari, sabuni nk (maduka kama yale
ya kina mangi)
Pia nauliza faida na hasara...
How can SMEs increase employee Engagements under Economic/Resource constraints
Changamoto ya kufikia Uwajibikaji, Utendaji bora, Uadilifu, Umahili na Ubunifu(Effective and Efficient...
The heavy security measures being taken by the US is a clear cut indication that they have reservation of how they regard us! and yet they feel they want to Invest in the Tanzania.
It is OK to...
Habari WanaJF Naomba msaada kuhusu hawa jamaa na hii A/C yao ya TAJIRIKA wao ndo pekee wanaotoa RIBA au kuna wengine na kuna akaunti zingine zitoazo RIBA Hata kama ni BANK tofauti na Taratibu za...
Hallow Viewers !! Watch live streaming online free just here & U on right place now just in this site.Welcome to join the sports New South Wales vs Queensland live stream free watch online TV...
Hey there,
I need Professional assistance
I am establishing an NGO focusing on develeopment partnership in different programs; Now I need some expert advise on which organisational structure...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.