SACCOS zilizopo Dar es Salaam

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Habari wana JF,

Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.

Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo zimepata mafanikio (ambazo sio changa), au kwa lugha nyingine, SACCOS ambazo zinaweza tumika kama mfano kwa SACCOS nyingine.

Malengo yetu ni kutembelea SACCOS zenye wanachama 200+, ambazo ni kubwa kiwastani na kuendelea.

Next week ntajitahidi kupata list kamili kutoka viwanda na biashara. Lakini pia, ningependa kupata list hii toka kwenu wadau.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda Mtoni Lutheran Church saccos, na pia nenda Dovya Lutheran church saccos. Hizi nina uhakika utapata utakacho.
 
Nenda Mtoni Lutheran Church saccos, na pia nenda Dovya Lutheran church saccos. Hizi ninauhakika utapata utakacho.

Asante sana mkuu Malila
 
Tembelea SACCOS ya TANESCO na Posta na simu na ukitaka kupata habari zaidi nenda jengo la uashirika Mnazi mmoja kaulizie SCULT huu ni muungano wa saccos zote nchini utapata utakacho.
 
Thanks mkuu. Nimeipata hiyo.
 
program inahusu nini ? Scult wataweza kukusaidia kukupa list with contact numbers ,ila saccos nyingi zilizofanikiwa ni zile ambazo wanachama wake ni watumishi wa Taasisi na mashirika ya kidini
 
Habari wana JF,

Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.

Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo zimepata mafanikio (ambazo sio changa), au kwa lugha nyingine, SACCOS ambazo zinaweza tumika kama mfano kwa SACCOS nyingine.

Malengo yetu ni kutembelea SACCOS zenye wanachama 200+, ambazo ni kubwa kiwastani na kuendelea.

Next week ntajitahidi kupata list kamili kutoka viwanda na biashara. Lakini pia, ningependa kupata list hii toka kwenu wadau.

Natanguliza shukrani.

Samahani mkuu naomba kufahamu, hizo SACCOS ndio nini?.

savings and credit cooperative organisations......

RRonda umekosea maana ya SACCOS ni Savings and Credit Co-operative Societies (kwa kiswahili ni Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo) ambavyo viko chini ya Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na siyo Viwanda Biashara na Masoko kama alivyosema mwanzishaji wa mada.
 
Habari wana JF,

Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.

Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo zimepata mafanikio (ambazo sio changa), au kwa lugha nyingine, SACCOS ambazo zinaweza tumika kama mfano kwa SACCOS nyingine.

Malengo yetu ni kutembelea SACCOS zenye wanachama 200+, ambazo ni kubwa kiwastani na kuendelea.

Next week ntajitahidi kupata list kamili kutoka viwanda na biashara. Lakini pia, ningependa kupata list hii toka kwenu wadau.

Natanguliza shukrani.

Nenda Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika maeneo ya Tazara Vertenary jengo la Kilimo II ndiko ziliko ofisi za Idara ya Maendeleo ya ushirika ambao ndiyo wasimamizi wa utekelezaji wa sera na sheria ya vyama vya ushirika. Makao Makuu ya Idara ya mMaendeleo ya Ushirika iko Dodoma kwenye jengo linalojulikana kama Ushirika na Masoko ambalo lipo katikati ya jengo la CCM makao makuu na TRA/Hazina Ndogo
 
Kwa SACCOS zenye 200+ kwa Dsm za kutembelea ambazo mm naona zitakufaa sana na kupata changamoto zi zile zilizofungua wigo au zenye makundi mchanganyiko, mfano. URAFIKI SACCOS , TANDALE SACCOS, lakn ukitaka hata za taasisi au makazini tembelea UDSM, MUHIMBILI, TANESCO, POSTA na SIMU, NBC SACCOS pia waweza kwenda nje kdogo ya DSM kama TCCIA PWANI, Shirika la Elimu- Kibaha au MLANDIZI SACCOS.
 
Pia kwa Dar es salaam kuna ile ya walimu wa wilaya ya Kinondoni( KITE SACCOS).
 
Ukitaka listi ya SACCOS Zilizopo Dar es Salaam mpingie huyu afisa ushirika atamaliza matatizo yako. Ni kijana mzuri sana na anashirikiana vizuri. Saccos zikitumiwa vizuri zitawakomboa watanzania. Japokuwa zina matazizo mengi, wana JF Wenye uwezo wasaidie hasa katika elimu ya ujasiriamali na jinsi ya kutunza mahesabu. Watanzania hatuna asili ya kufanya biashara kwani serikali llikuwa inafanya biashara zote kabla ya sera ya biashara huria haijaanza au kabla ya ubinafsishaji.
Nadhani nisiitupe namba ktk mtandao, nenda ofisi ya ushirika manispaa ya Ilala, jengo la anatoglo, mnazi mmoja ghorofa ya kwanza utapata majibu na matatizo yako yote yatakwisha.
 
Back
Top Bottom