Habari wakuu,wiki kadhaa zilizopita nilipost uzi nikieleza Nia yangu ya ya kuanza biashara ya uwakala wa miamala kwa Mtaji wa 2.5M, nashukuru kwa maelekezo mliyonipa,
Leo narudi Tena kuomba...
Kuna wengi sana hawafanyi Biashara kwa sababu wanadhani kwamba tatizo lao ni kwamba hawana MTAJI. Utamsikia mtu anasema nikipata Mil 10, Au nikipata Mil 100 au nikipata laki 5 nitabadilisha maisha...
Wazoefu waliwahi tumia hizi mashine za kufyekea nyasi shambani, Ufanisi wake, ubora wake ukoje, changamoto zake,upatikanaji wake, kwa sasa zinauzwa bei Gani mpya Dukani Naomba muongozo wadau.
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako...
HOW Tanzania needs to benefit from its vast aquatic resources, blue economy
In March 2021, shortly after assuming office, President Samia Suluhu Hassan underscored the need to harness...
Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo.
Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno
Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana...
Habari
Samahani kwa mwenye uzoefu na biashara hii naomba anipe maelezo kuhusu biashara hii
1.Garama ya viti (kuvinunua pamoja na kukodisha)
2.Garama ya turubai (kuvinunua pamoja na kukodisha)...
NANYUMBU YAZALISHA DHAHABU ZA BILIONI 1.28, SERIKALI YAHIMIZA UCHIMBAJI ENDELEVU
Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha...
Sababu kubwa ni hii moja:
Developer anatumia mwaka kuandaa project, halafu anataka ipate matokeo ndani ya mwezi.
Lakini walisahau kuwaandaa wateja mapema.
Mambo ya kuzingatia kabla hujaleta...
Nauza sana digital products Tanzania na dunia nzima.
kama kweli unataka kupata wateja wengi, zingatia yafuatayo kabla hujaanza any online business:
1. Elewa Wateja Wako
Unatakiwa kujua...
Tunauza NIPPLE DRINKER SYSTEM kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu.nipple ni (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa)
FAIDA ZA NIPPLE...
Hello wana JF,
kama unakaa Moro, kuna brand ya karanga ya Regina. Kila sehemu amepenya. Kuna waliojaribu kuiga wakashindwa. Karanga zake zinatoka kwa oda.
Siri yake ni ipi?
Bila kupoteza wakati kwenye tv kuna voltage Kama name hivi,ambazo ikitokea volt hizo zimepungua au kuongezeka Basi usishangae kuona tv Ina mistari, au inaonyesha ukungu...
Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za...
Hapana kabisa! Kauli kwamba biashara ni kwa ajili ya walioshindwa maisha sio sahihi na ni potofu. Badala yake, ukweli ni kinyume chake:
---
### Biashara Ni Njia Muhimu ya Kufanikiwa
Biashara ni...
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Aunali Rajabali.
The richest Tanzanian investors on the Dar es Salaam bourse have amassed a total wealth of $81.77 million, according to data gathered at the end of...
Habari za Leo Wana jamvi.
Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu.
Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni...
Mabaharia wafanyabiashara nimepata mpunga kidogo kama 20m kwamara yakwanza nataka kwenda dubai au china kununua simu hasa smartphone
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mliowahi kwenda china au dubai...
23,April, 2021...
.
....Fred Vunjabei akiwa XXL ya Clouds FM...
Alivujisha Siri Kibao za Mafanikio
ILA...
Hizi 7 ndio Siri Konki Zaidi
.
...na Zitaenda Kubadisha Maisha 10X Zaidi Guaranteed
...