Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nimejiuliza sana juu ya kulinda na kukuza mtaji lakin siona mwanga mbele yangu tafadhali naombeni mnisaidie.
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Hakuna sehemu zinaweza kuwa nzuri kwa wajasiriamali wanaoanza kujitafuta kama minada. Andika hapo jina la mkoa/ wilaya uliopo na siku ya mnada (minada ya wamachinga) Kama...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu? Naomba kujua kuhusu ratiba za minada ya Lindi na Tunduru? With much thanks in advance.
0 Reactions
11 Replies
941 Views
Mimi naomba kuuliza kwa wale walio pitapita katika maswala ya kiuchumi KUKOPA BANKS Mfano Mtu unahitaji Kukopa BANK mkopo wa milioni 15 Naomba kujua, Interest rate yao haya mabenk kwa mkopo wa...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Naomba kuuliza hatua za kufuata kufungua bureau de change na je kama investor kwenye hio biashara napataje faida au wenye bureau de change wanapataje faida. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
12 Replies
520 Views
Heshima kwenu wakuu, Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs...
49 Reactions
153 Replies
10K Views
Wakuu habari yenu! Kwanza niseme sijaanzisha huu Uzi kwa lengo La kupromote au kuponda biashara ya MTU. Mimi binafsi nahitaji kujua Yale ambayo siyajui kama tujuavyo JF ni pana na ina kila aina...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Nchi za Namibia na Botswana zinatarajiwa kuwa na kiwanda cha pamoja cha kusafisha mafuta( Oil Refinery) ili kupunguza kiwango cha mafuta wanachoagiza kutoka nje. Hatua hiyo imetajwa ikiwa ni...
0 Reactions
3 Replies
313 Views
WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Dear Customers We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi...
2 Reactions
6 Replies
503 Views
Naomba msaada wenu nina duka la nguo la kawaida tu na lipo eneo zuri la biashara kinachonishangaza sipati faida kabisa je kuna yeyote kwenye biashara hiyo ambaye anaweza kunishauri jinsi ya...
6 Reactions
617 Replies
355K Views
Wakuu msaada, Nawezaje kuwa wakala wa vifurushi vya Halotel? Nafurahi sana nikihudumia watu.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳 Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE. Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu ■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa. ■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia...
1 Reactions
8 Replies
771 Views
Msaada bei ya Mchele grade 1 mbeya unauzwaje
1 Reactions
2 Replies
359 Views
Habari za majukumu wanajamvi!? Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka. Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Hello Habari wana JF I present you Frame zilizoisha na zinahitaji wateja wenye ndoto za kuanza au kuendeleza biashara zao eneo la Ditopile, Barabara ya bonyokwa to kinyerezi Frame hizi zipo 9...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
https://chat.whatsapp.com/EESLRXNogcqAmV06QeCNBE Humu utajifunza Namna ya kuifanya pesa ikuletee pesa zaidi Kwenye HISA, UTTAMIS, HATIFUNGANI, Real estate nk Bonyeza link uje whatsap Au nidm...
3 Reactions
2 Replies
590 Views
Back
Top Bottom