Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Saa za Watoto & Watu wazima Ubora umezingatiwa 💯 Haziingizi Maji ✅ Zina Alarm ⏰ Zina Stopwatch ⏱️ Zinasoma days Kwa Bei Janja Tsh 15,000/= 🔥 UBORA UMEZINGATIWA ☎️ 0712350159 🚩 FREE DELIVERY...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Kama una ndoto ya kutoka mtaa mpaka kwenye success ya ukweli—basi lazima ujue hii dunia haimsubirii mtu. Haina time ya kusikiliza visingizio. If you wanna make it big, start where you are, use...
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Napatikana Soko La Mazao Songea Mjini. Hivyo Kama Wewe Ni Mfanya Biashara Na Unahitaji Kujua Bei Za Mazao, Au Unahitaji Mzigo Basi Unaweza Kuwasiliana Namimi. Mazao Yanayo patikana Ni Kama Vile...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Simu aina ya Vivo X7 Dual simCard 4G 📶 Ram 4Gb 🛠️ Rom 64 ⚙️ Camera safi 📸 Touch ID ✅ Tsh 95,000/= Arusha Town 0712350159
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye...
3 Reactions
2 Replies
690 Views
Habari ndugu. Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa. Ahsanteni.
1 Reactions
98 Replies
17K Views
Wakuu habari ya week end,naomba mnijuze anaejua bei us magneto mpya na wiring ya boxer bm 150
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wakuu! Samahan Ikitokea una manunuzi mengi kuliko mauzo kuna changamoto gani unaweza kukutana nayo kama mfanyabishara?
2 Reactions
7 Replies
576 Views
Business issues. Biashara ya chupi, boxer, vest na vingine Kama soksi n.k ni nzuri Sana Kuna kigoli kinapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi (Azania Bank) ni kigoli kizuri kwaajili ya biashara...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments. Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
4 Reactions
37 Replies
23K Views
Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Imeandaliwa na Smart Finance SW Ndugu wafanyakazi, Leo nimekuja kuzungumza nanyi siyo tu kama mfanyakazi mwenzenu, bali kama mtu anayejali maisha yenu ya sasa na yale yajayo. Nataka tujiulize...
6 Reactions
5 Replies
609 Views
Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end...
2 Reactions
12 Replies
857 Views
Katika jambo ambalo limekuwa likikwamisha watanzania wengi kusonga mbele ni swala LA mtaji either wa wazo,kipato au sehemu mfano unakuta mtu unawazo zuri tuu la kibiashara au kilimo Ila changamoto...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu, Utangulizi: Awali yayote nipende toa shukrani kwa Mungu na kwa yeyote atakae wiwa na maombi yangu. Mimi ni kijana umri miaka 24, nina degree ya accounting with information...
4 Reactions
0 Replies
351 Views
Back
Top Bottom