Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello waungwana wa jamiiforums Naitwa, Davidmmarista. Mimi ni kijana mjasiriamali, programmer, na mkulima. Hii ni stori yangu ya mafanikio katika biashara ya chakula, na jinsi nilivyoweza kufikia...
29 Reactions
69 Replies
5K Views
Habari wakuu Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu...
2 Reactions
4 Replies
780 Views
Wakuu nataka kufanya biashara mbili kati ya hizi niwe na fusso tipa la kubebea mchanga, kokoto, vifusi na n.k au niwe na coaster kwa ajili ya kubebea abiria kutoka wilaya moja kwenda nyingine au...
8 Reactions
36 Replies
7K Views
Habarini wadau nauza Viti kwa ajili ya sherehe mikutano na shughuli mbalimbali. Viti hivi vimetumika kidogo. Angalia Picha hapo. Bei 40,000.Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
7 Replies
8K Views
Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya sehemu ukiwekeza ni uhakika ila tulio wengi hatujui na hatufahamu kuhusu hili.mfano kuna kitu kinaitwa Samia Infrastructure Bonds ni hati fungani mahsusi inayotolewa na benki ya...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Umasikini na utajiri ni kama virusi—vyote vinaambukiza! Ukiwa karibu na mafanikio, nawe utafanikiwa, ukiwa karibu na umasikini, na wewe utakuwa masikini hivyo hivyo. Siri ya kufanikiwa ni kuchagua...
12 Reactions
23 Replies
4K Views
Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Habar wakuu nauliza kwa anaejua chimbo la mizani aina yote atoe muongozo
0 Reactions
1 Replies
276 Views
📢 UWEKEZAJI WA KIPEKEE: BITNEST NA BITLOOP! 🚀 Je, unatafuta fursa ya kufaidi kwa kasi na kwa uhakika katika ulimwengu wa DeFi (Decentralized Finance)? Bitnest inakuletea mfumo wa kipekee wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakubwa Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023 Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker...
24 Reactions
125 Replies
6K Views
GT Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ninaendesha duka la bidhaa za rejareja Kijiji cha kanyigo, Kagera. Ni eneo lenye watu wa kawaida wanaohitaji bidhaa muhimu kila siku kama mchele, unga, sukari, mafuta, sabuni, n.k...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Habari za muda wakuu, Nina milioni 3, nataka nikaanze maisha sijui pakuelekea, nipo Arusha
1 Reactions
6 Replies
392 Views
Jinsi Tunavyopambana na Hustle Zetu Online 2025 Wafanyabiashara wengi wanafocus kupata wateja wapya tu... Lakini siri ya kukuza biashara ni hii hapa 👇 Kuwa karibu na wateja uliopata tayari...
2 Reactions
0 Replies
348 Views
Back
Top Bottom