Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna mdogo wangu amemaliza high school ameniomba nimu nunulie gari ya kufanya bolt hapa dar es salaam ili aweze kukusanya pesa ya kujilipia ada chuoni ambae kwa jumla anahitajika 8m kwa kila...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
𝐇𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐉𝐟, 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐟𝐚𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐯𝐢𝐮𝐳𝐚 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐞 𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢
0 Reactions
4 Replies
480 Views
China wameishaipiga marufuku tayari.Russia nayo iko mbioni kufunga mitandao yote inayojihusisha na biashara hiyo. Kwa wale waliowekeza huko ni vizuri wawe makini wasiache ela yao nyingi huko...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Ikiwa unafikiria kila wakati juu ya shida, utapata shida zaidi.. Ukifikiria juu ya suluhisho, utapata nafasi zaidi. Hata kama kitu kinaumiza sasa, siku moja utaona kimekufanya uwe na nguvu...
2 Reactions
0 Replies
269 Views
Habari za leo wazee. Nimekua nikisafilisha mizigo kwenye magari yanayo safirisha mizigo kutoka kariakoo kuja morogoro, jana mzigo wangu wenye thamani ya sh 4.4M( milioni nne na laki nne) umepotea...
3 Reactions
2 Replies
661 Views
Africa needs a single currency, it will c.rush the dollar - Nigerian journalist Kemi Olunloyo Nigerian journalist and chemist, Dr. Kemi Olunloyo, has stirred fresh debate on African economic...
3 Reactions
0 Replies
295 Views
MOJM Clearing Forwarding Agent Tunatoa huduma za Clearing forwarding za aina zote Mahala ni bandarini na airport mizigo kama container,magari,loosecargo na parcel.. Charges zetu: =>...
2 Reactions
11 Replies
870 Views
Jacob alikuwa mvulana mwenye hamu kubwa ya kufanikiwa. Aliamua kuanzisha biashara ndogo ya kuuza viazi karo kwenye mtaa wa jiji. Kwa bidii, alinunua viazi, kukaanga, na kuanza kuuza kwa shilingi...
4 Reactions
7 Replies
705 Views
…Mwaka 2013… Huu ulikuwa mwaka ambao dunia ilishuhudia Nokia, kampuni kubwa na ya heshima, ikitangaza kuwa imeuzwa kwa Microsoft. Katika mkutano wa habari, mkurugenzi mkuu wa Nokia alisimama...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
DATA CABLE SET – Kasi, Ufanisi na Ubora kwa Vifaa Vyako Vyote! Unachoka na nyaya zinazovunjika haraka? Tunakuletea Data Cable Set ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu! Seti hii inajumuisha: 1x...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Umaskini hauanzi kwenye mfukoni, unaanzia kichwani. Ni hali ya kifikra kabla haijawa hali ya maisha. Mtu maskini si yule asiye na pesa, bali ni yule anayekataa kujifunza, anayepuuza maarifa, na...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Habari wadau. Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha kuchakata taka mbalimbali kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali(recycling) Ninaomba kwa mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu wazo hili...
5 Reactions
13 Replies
654 Views
Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kabla sijakwambia ni STRATEGIES gani ningeenda kuzitumia ili kujenga hiyo brand… Naomba kwanza nikwambie maana sahihi ya BRAND ili uweze kunielewa vizuri huko mbele. Huwa napenda kuelezea brand...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume...
2 Reactions
1 Replies
506 Views
Kwa 35000 tu pata airtel router nicheki 0781 493401,0686 821302
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Kwenu NMB tabora....., *Kutokana na ongezeko la biashara /mzunguko wa biashara Tabora mjini benki ya NMB imekuwa ikizidiwa na wateja. Jambo hili limepelekea kucheleweshewa kwa upatikanaji wa...
4 Reactions
7 Replies
562 Views
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom